Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Ni hatare kweli wanawake we mbamba ni noma sana uhusiano huenda wana fidia kutokua na mwili na maneno mengi, wengine wanadhani wanaonewa kwasbb ni wembamba, naona ni shida ya kisaikolojia.Kwema Wakuu!
Bado nafanya utafiti nipate uhakika wa moja kwa moja lakini mpaka sasa majibu yangu yanamuelekeo wa asilimia kubwa inayozidi 80% ya wanawake wembamba kuwa na tabia ya gubu, mdomo na roho mbaya.
Hii ni tofauti na wanawake Wanene. Ni nadra sana kumkuta Mwanamke mnene kuwa na gubu, mdomo na roho mbaya.
Kuna uhusiano gani?
Zingatia, sio wanawake wote wembamba wana gubu, mdomo na roho mbaya ila wengi wao wapo hivyo.
Alafu ukute mwembamba asiye na gubu, mdomo na roho mbaya lazima awe smart kuanzia akili za shuleni na akili za maisha.
Karibuni kwa mjadala
Mwanamke yoyote usimtegemee wala kumwomba chochote mpaka akupe yeye labda mama yako mzazi anaweza kukuhurumia.Kwema Wakuu!