Ryan Holiday
JF-Expert Member
- Jul 25, 2018
- 2,026
- 4,450
Wewe ungekuwa KE tu, nafikiri iyo jinsia inakufaa zaidi.
Au unaonaje ndugu mwandishi, Utapendeza zaidi. 🤣
Au unaonaje ndugu mwandishi, Utapendeza zaidi. 🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni tabia zao tu, bado sijaona uhalisia wa muonekano wa mtu na matendo yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani na wewe kipotabo?
Umuonavyo mtu nje ni matokeo ya ndani alivyoNi tabia zao tu, bado sijaona uhalisia wa muonekano wa mtu na matendo yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi ni kapotabo na sina hizo tabia.Kwani na wewe kipotabo?
Hauko kwenye kundi hilo
Wewe siyo kapotabo nakataa
Sio kudanganywa naangalia hata watu wanaonizunguka mimi nakataa kabisa leo sikuungi mkono.Mwonekano hubeba uhalisia kwa kiwango kikubwa asije akakudanganya mtu.
Ingawaje wapo Exceptional.
[emoji23][emoji23][emoji23] sawa sawa.Wewe siyo kapotabo nakataa
Wewe ni TDB
Hii ni tofauti na wanawake Wanene. Ni nadra sana kumkuta Mwanamke mnene kuwa na gubu, mdomo na roho mbaya.
😂😂😂😂😂😂😂😂hawaridhiki
😂😂😂😂 aiseeKwema Wakuu!
Bado nafanya utafiti nipate uhakika wa moja kwa moja lakini mpaka sasa majibu yangu yanamuelekeo wa asilimia kubwa inayozidi 80% ya wanawake wembamba kuwa na tabia ya gubu, mdomo na roho mbaya.
Hii ni tofauti na wanawake Wanene. Ni nadra sana kumkuta Mwanamke mnene kuwa na gubu, mdomo na roho mbaya.
Kuna uhusiano gani?
Zingatia, sio wanawake wote wembamba wana gubu, mdomo na roho mbaya ila wengi wao wapo hivyo.
Alafu ukute mwembamba asiye na gubu, mdomo na roho mbaya lazima awe smart kuanzia akili za shuleni na akili za maisha.
Karibuni kwa mjadala