Kuna uhusiano gani kati Wanawake wembamba na tabia ya hivi, mdomo, roho na mbaya

Ila kama kuna ka ukweli furani mm niliwahi kua na mchepuko mwembamba akiomba kitu mpe sio uanze sound yaaan alikua anaandika sms km barua lakini kabla hujamaliza kusona inaingia nyingine dah!!!Sema ni vitam sana maana kitu kinaaingia ndani huko harafu ukute kanajua na kufinya kwa ndani 🤣🤣🤣
 
Dahhh....
Umenikumbusha mbali sana mkuu, yaani nilisha wahi kukiacha kile kidada sababu ya kuongea sana, chembamba..... hakisikii, kipereto..... hata kikiamka katikati ya usiku kinaanza tu kulalamika kwanini nilisimama kwa muuza matunda....khaaaaa
 
Kweli na dada yangu mmoja mwembamba huyo(mtoto wa shangazi) tukiwa wadogo siku moja wazazi waliondoka wote akabaki yeye ndo mkubwa nyumbani akafungia mfuko mzima wa sukari chumbani kwakwe akasema tuchemshe mchaichai tunywe bila sukari akawa anadai eti tunatumia vibaya sukari.

Japokua ni dada yetu tukajadiliana mimi na bro wangu mmoja ikabidi tumtembezee kichapo tukampora ufunguo tukaenda kuchukua sukari hadi leo sisahau lile tukio.
 
😂😂😂😂 aisee
 
Mwembamba ama munene wote ni mudomo mudomo na roho mbaya ndio tabia zao
 
Ulalamishi ni numeri Ek! Wivu nambari Mbighi. Uchoyo nambari tatu yani vinakeraa japo ni tutamu sana kwenye 6*6
 
Wanarohombaya Kwasababu Ile nafasi ya kutoka kwenye Moyo hadi kwenye nyongo iko wazi na kavu, haijazibwa na mafuta kama wanawake wanene🤣🤣🤣🤣
Sasa umkute mwembamba halafu mfupi🤣🤣🤣🤣 Yani Moyo na nyongo vipo karibukaribu......🤣🤣🤣🤣🤣utaipenda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…