MBITIYAZA
JF-Expert Member
- Jan 22, 2017
- 14,947
- 26,074
Mm naona kwa 7bu inapoingilia mimba ni maeneo hayo hayo unapotokea mkojo kwahiyo kuna kauhusiano hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
hahaaha kweli wewe mwachatila
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mm naona kwa 7bu inapoingilia mimba ni maeneo hayo hayo unapotokea mkojo kwahiyo kuna kauhusiano hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sanamie huwa ni ugonjwa usio na dawa !
Kwangu ni baraka tu sio ugonjwa [emoji4] [emoji4] [emoji4]asante sana !we huwa husumbuki?
hahahahaMm naona kwa 7bu inapoingilia mimba ni maeneo hayo hayo unapotokea mkojo kwahiyo kuna kauhusiano hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda ni namna au njia inayotumika kuambukizwa au kuambukizaMimba ni ugonjwa?
Wenye bahati zao wengine huku mpaka tunatisha kwa kuumwaKwa baadhi mimba si ugonjwa wanadunda miezi yote tisa bila tatizo lolote lile na mzigo wanapiga mtindo mmoja.
Mkojo hautoki kwenye tundu la kufanyia ngono.Mm naona kwa 7bu inapoingilia mimba ni maeneo hayo hayo unapotokea mkojo kwahiyo kuna kauhusiano hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu maelezo ni sawa, Ila haichujwi kwenye kibofu cha mkojo, huchujwa kwenye figo.mkuu maelezo yako ni sahihi but sio hiyo hormone ya lutenizing hormon but ni Gonatrophine hormone ndio huwa inapatikana kwenye mkoja ndio huwaga relised kwenye damu then kwenye mzunguko wa damu ambako huenda kuchujwa kwenye kibofu cha mkoja na kutolewa kama taka mwil na hii hormone huwa inatokea baada ya yai kurutubishwa
Sent using Jamii Forums mobile app
WELL MKUU ,, MWANAMKE AKIPATA MIMBA ,,MWILI WAKE HUZALISHA HORMONE INAYOITWA HUMAN CHORIONIC GONADOTROPIN ( HCG) ,,HOMON HII HUMWAGA NDANI YA DAMU NA MKOJO.. NDO MAANA MIMBA HUPIMWA KWA DAMU AU MKOJI.
SASA MWANAMKE AKISHAPATA MIMBA NDANI YA SIKU KUMI TAYARI HII HOMON INAWEZA KUTAMBULIWA ........namkojo uhakika wake ni 97%.
matundu matatu!?Mkojo hautoki kwenye tundu la kufanyia ngono.
Wanawake tuna matundu matatu; urethra la mkojo,vagina la ngono,menstrual na kuzaa
Na anus la haja kubwa
Ndo ivyo..anatomy hiyo.matundu matatu!?
urethra,vagina,menstrual!!?
hahahaha aunty inabid ujichunguze kwa kweli kesho kuna binti atakuuliza utamwela ivo hahahha sayansi yako inabidi nikaifanyie kazi
Sent using Jamii Forums mobile app
Na mm sijasema ni tundu hilo hikoMkojo hautoki kwenye tundu la kufanyia ngono.
Wanawake tuna matundu matatu;
1.Urethral opening la mkojo,
3.Vagina la ngono,menstrual na kuzaa
3.Na Anus la haja kubwa
Nafikiri haya ndiyo majibu sahihi kabisaumejibu kidaktari mkuu safi sana na mara nyingi huanza kuzalishwa week 2 baada ya kijusi kutungwa....
Kuna kitu kinaitwa hcg(human chorionic gonadotropin hormone)ambayo inazalishwa na placenta(kondo la nyuma)kipindi cha ujauzito,hormone hiyo yaweza patikana kwenye damu ama mkojo(kama taka mwili)
Una huwakika iyo hormone ina itwa ivyo..!?Mimba ikitungwa mwili huanza kutoa hormone iitwa LTH kwenye damu ambayo baadae hutolewa kama mkojo na ndo mana hupima mkojo ukiwa na hio hormone bas tayariiiiiii
Ila ka hauna ujue n fresh tu hakuna mimba
Sent using Jamii Forums mobile app
Ina zalishwa na placenta..!? Means wanaume hawana..!? je mtu asipokuwa kwnye kipndi cha ujauzito Hcg huwezi i detect kwnye sirum..!??Kuna kitu kinaitwa hcg(human chorionic gonadotropin hormone)ambayo inazalishwa na placenta(kondo la nyuma)kipindi cha ujauzito,hormone hiyo yaweza patikana kwenye damu ama mkojo(kama taka mwili)