Kuna uhusiano gani kati ya mkojo na mimba?

Kuna uhusiano gani kati ya mkojo na mimba?

Habari zenu wakuu!

Niende kwenye mada naomba kujua uhusiano uliopo Kati ya mkojo na mimba nikiwa namaanisha kwamba, mwanamke anapohisi ana mimba basi akienda kupima ili kuthibitisha hisia zake, Daktari humpima mkojo na kubaini kama ana mimba au la.

Sasa naomba kufahamishwa kuna uhusiano gani kati ya mkojo na mimba ilihali njia ya mkojo ni tofauti na ile ya uzazi.

Natanguliza shukrani.
kama mwanamke atakuwa ana mimba basi kupitia mkojo kuna hormone inayohusika na kulinda mji wa mimba huwa inatoka kupitia mkojo....I think nipo correct kidogo from advance biology maana long
 
Back
Top Bottom