Kuna uhusiano gani kati ya ukubwa wa maumbile na viungo vya uzazi?

Kuna uhusiano gani kati ya ukubwa wa maumbile na viungo vya uzazi?

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,107
Reaction score
160,001
Eti kuna ukweli wowote juu ya hili, kuwa watu wembamba na wenye miili midogo viungo vyao vya uzazi vinakuwa ni vikubwa zaidi ukilinganisha na watu wanene na wenye miili mikubwa?
 
me nilisikiaga kwamba wanawake wanene wanabanwa na nyama zile around around, so mbunye inakuwa ndogo unlike slim ladies
 
itabidi nigegede slim lady maana mara ya tatu nasikia kuhisu slim ladies kuwa na papuchi kubwa
 
so,hao
wembamba
wakinenepa
naviungo
vyao
vinakuwa
vidogo?
na
wanene
wakikonda
viungo
vyao
vinakuwa
vikubwa?
vinakuvikubwa?
 
Thread za kufungia mwaka hizi. Ngoja nami nitoke na yangu kabla mwaka haujaisha!
 
Eti kuna ukweli wowote juu ya hili, kuwa watu wembamba na wenye miili midogo viungo vyao vya uzazi vinakuwa ni vikubwa zaidi ukilinganisha na watu wanene na wenye miili mikubwa?
Hakuna ukweli wowote (especially ukiongelea size ya tundu).
 
NILIWAHI KUSIKIA SIZE YA MDOMO IPO SAWA NA KULE :becky:LABDA TUSUBIRI WATAFITI WATUPE DATA😕
 
Kumbe mnene viungo vyako vinakuwa vidogo leo ndio napata picha luluuuuuuuuu alikuwa amammudu vipi koooooooooomba

Ila inaweza kuwa right kuna gubegube moja la hapa town liliwahi niambia kinjeeeeeeeee ana bamia na dimondooooooo ana tango
 
Me nadhani ktk hali ya kawaida,viungo vya mwili vinakuwa na uwiano fulani...kwa mfano,ni mara chache kuona mtu mfupi,mwenye vidole virefu na mambo kama hayo... Huo ukubwa au udogo,unapimwa kwa kutumia kizio gani...manake,we unaweza sema,ana nanii kubwa,kumbe we yako ndo ndogo...kwa hiyo,hivyo viungo vya mwili vinakuwa na uhusiano ktk ukubwa!
 
Hakuna lolote yoyote yule ukimpata mueke mkao wa mbuzi kagoma tu mambo yote safi.
 
Back
Top Bottom