Hiyo zamani sio siku hizi....Kuna hii hali mara nyingi naiona kwa watu aidha hata wewe unaweza kuwa umekutana nayo unakuta mtu alikuwa mwembamba labda akaanza kunenepa basi watu hutokea sana kumsifia kuwa mambo yake yamekuwa mazuri.
Je, unene ni kipimo cha maendeleo yako kimaisha?
+ Uhakika wa mbususu au dushe1. Milo mitatu ya uhakika.
2. No stress.
3. Beer, Kitimoto, michemsho.
4. Hamna kugombania daladala. Unakanyaga tu wese hadi home.
5. Massage kila weekend.
Usiponenepa we umerogwa.
Kumbuka methali isemayo mchumia juani hulia kivuliniKuna hii hali mara nyingi naiona kwa watu aidha hata wewe unaweza kuwa umekutana nayo unakuta mtu alikuwa mwembamba labda akaanza kunenepa basi watu hutokea sana kumsifia kuwa mambo yake yamekuwa mazuri.
Je, unene ni kipimo cha maendeleo yako kimaisha?