Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Inaweza kuwa ni sababu,ina maana hata ndugu hakuna?Mwenye watoto wachache labda anayo nafasi kubwa ya kujijenga zaidi kiuchumi kwa kuwa pesa zake hazina tegemezi wengi.
Unamaanisha umasikini unasogeza watu karibu?Umaskini ndio kilakitu hapo.
Ina maana na hao wenye nyumba ndogo wakifanikiwa kuwa na nyumba kubwa na tabia zao zinaweza kubadilika?Wenye nyumba kubwa wanakuwaga matajiri na wana roho mbaya na wenye nyumba ndogo ni maskini wanakuwa na roho nzuri wanapenda wageni. Matajiri wanakuwaga bize na wengi ni wakaksi sana ukimtembelea anakuuliza unaondoka lini? Ukitoka hapo hurudi tena
Hovyo sanaWenye nyumba kubwa wanakuwaga matajiri na wana roho mbaya na wenye nyumba ndogo ni maskini wanakuwa na roho nzuri wanapenda wageni. Matajiri wanakuwaga bize na wengi ni wakaksi sana ukimtembelea anakuuliza unaondoka lini? Ukitoka hapo hurudi tena
Ndio.Unamaanisha umasikini unasogeza watu karibu?
Sio kweli bro. Wenye Hela na matajiri KILA MTU NA KILA NDUGU ANATAKA KUWA KARIBU NA WW NA AISHI NA WW. Sasa utaishi na wangapi? Kwa hio tunaangalia tu wachache sana ambao wana Faida kwetu.. mfano ni kama ndugu Wachapa kazi sana nk ndio tunawaruhusu maishani mwetu. Na kama ndugu wa namna hio hayupo sababu ndugu wote wanataka kukunyonya tu damu, basi unafyekelea ndugu wote kisha unabakia na mke wako na watoto wako, kijana wa kazi, na Dada wa kazi tu.Wenye nyumba kubwa wanakuwaga matajiri na wana roho mbaya na wenye nyumba ndogo ni maskini wanakuwa na roho nzuri wanapenda wageni. Matajiri wanakuwaga bize na wengi ni wakaksi sana ukimtembelea anakuuliza unaondoka lini? Ukitoka hapo hurudi tena
Huo ndo UHALISIA,Wenye nyumba kubwa wanakuwaga matajiri na wana roho mbaya na wenye nyumba ndogo ni maskini wanakuwa na roho nzuri wanapenda wageni. Matajiri wanakuwaga bize na wengi ni wakaksi sana ukimtembelea anakuuliza unaondoka lini? Ukitoka hapo hurudi tena
Umaskini wa mali, umaskini wa fikra, na umaskini wa elimu UNAWEZA ukasababisha mtu anakuwa na kajumba kadogo ka room 2, halafu ANAJAZANA NA WATU WAVIVU humo ambao wanataka kula tu cha bure na wala hawafikirii kufanya maendeleo MAKUBWA. Ni lazima kila mtu ajifunze kupambana na sio kutegemea tu nduguye.Unamaanisha umasikini unasogeza watu karibu?
Unajua tunaishi katika dunia ambayo ukijifanya ww unajali sana ndugu, watakuvuruga Haswaaa. Kwa hio ni muhimu kuwa na ubinafsi kwa asilimia fulani, sio asilimia zote. Hio ni muhimu ili kuzuia watu kukunyonya damu. Ukijifanya una roho siku izi ukatoa moyo wako kidogo, kuna watu watataka WAUCHUKUE MOYO WAKO WOTE, AKILI ZAKO ZOTE, NA DAMU YAKO YOTE. Hivyo pia ni uhalisia tu wa dunia ya leo na watu wengi walivyo leo. Ni Wabinafsi....Huo ndo UHALISIA,
Hata watoto walokulia mazingira hayo, Ni wabinafsi mno.
Hovyo sana