Storywriter
Senior Member
- Jan 8, 2023
- 175
- 389
1. Kwanini kwenye usafiri wa ndege huwa hawapigi mziki mkubwa kama alivyo kwenye basi? Halafu angalia aina ya watu wanaopanda basi na wale wanaopanda ndege.
2. Kwanini maeneo kama Masaki, Upanga na Osterbay hayana kelele, ukilinganisha na Bugurini, Mwananyamala n.k, halafu angalia aina ya watu wanoishi katika naeneo hayo.
3. Kwanini sehemu za starehe za watu ambao ni high profile huwa hazina mziki mkubwa ukilinganisha na zile za makabwela?
Kwanini vyumba za kupanga huwa zina kelele ya mziki mkubwa, tofauti na nyumba ambazo wanaishi wamiliki wa hizo nyumba.
Swala hili limenisumbua sana naomba maoni na mtazamo wenu.