Kuna uhusiano kati ya umasikini, ujinga na kelele?

Masikini na utulivu wa akili au ustaarabu wapi na wapi ?
 
Uhusiano wa Exhaust na umaskini sijauona.

Umewahi iskia Brabus G_ Wagon ikipita? Au wrangler jeep..? Hapa tunazungumzia quality ya sauti.. kuna sound ukiiskia ww mwenyew unaangaza kuitafuta gari inatokea wapi.
 
Maskini ana mbwembwe kujipa moyo na matumaini ya kuusahau umaskin kwa muda
 
Hata utajiri una sphere zake unaweza kuwa Tajiri wa mali na Umaskini wa roho nzuri.
Na kila mtu Ni mjinga bila kujali una intelijensia kubwa kiasi gani ila utahitajika kujielimisha muda wote kila unapofikia hatua ya kukutana na ombwe kutoka unachokijua na usichokijua.
 
Nyumba ikishakuwa na wapangaji zaidi ya 4 inakuwa ni shida.
 
hiyo nyumba itakuwa na UNYAMA mwing sana,
 
Hata wachawi na waganga wa kienyeji wanapenda utulivu,na hufanya kazi utulivuni🤣🤣 shetani anaijua siri ya utulivu,ndomana ametupiga bao kwenye mambo mengišŸ™hata matajiri nao hawapendi kelele,shida ya masikini tunapenda kelelešŸŽµwakati wa kuumbwa ulimwengu,roho wa Mungu,alitulia juu ya maji,kimya,kimya,alifanya kazi yake katika utulivušŸ™
Hii ni nyimbo by annoint amani inaitwa utulivušŸ™jaribu kuipakua utainjoi na ujumbe murua.
 
Umewaza mbali mkuu
Matajiri huwakuti kwenye makelele
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ngoja tumuulize Chalamila.

NB: mwisho wa siku hakuna kitakachosalia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…