Kuna uhusiano mkubwa kati ya mapepo na ulaji wa nyama ya nguruwe.

Kuna uhusiano mkubwa kati ya mapepo na ulaji wa nyama ya nguruwe.

matunduizi

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2018
Posts
7,968
Reaction score
19,368
Nimejiuliza kwa nini yale mapepo kwenye Biblia yaliomba yakaingilie nguruwe ambao walikuwa mbali sana na sio mbuzi, ngombe au kondoo? ( mathayo 8:2😎.

Nikajiuliza nani aliyebuni uongo kuwa mapepo/majini kuwa yanaogopa nguruwe na products zake? Nikakumbuka ni bwana mdogo Ibirisi maana uongo ndio maisha yake.

Kiufupi nimekuja kuhitimisha mapepo yanapenda sana nguruwe. Kuna uhusiano mkubwa kati ya ulaji wa nyama ya nguruwe na mapepo au majini.

Mahali ambapo kuna mkusanyiko mkubwa wa nguruwe kuna uwezekano mkubwa kuwa na shughuli za hawa viumbe.

Jiepushe na vitu ambavyo majini na mapepo yanaona ni sehemu bora pa kuingia na kujifichia.


No hayo tu.

Mtumishi Matunduizi.
 
Bahati mbaya ni kuwa maeneo ya uswazi yenye idadi kubwa ya watu wenye kuchukia nguruwe ndiyo yaliyo jaza watu waliokumbwa na mapepo, huko shughuli ya kupunga mapepo ni ya kila siku😄
 
Nguruwe akisha chinjwa mapepo yanaondoka alafu yakua adaui wa nguruwe aliyechinjwa, ndo mana wachawi hushindwa boss.
 
Back
Top Bottom