KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 32,529
- 76,691
kuvaa kama olomide ndio hiyo niliyosema unadhifu una wadhifu sasa wewe iga tukuseme..😀Mi sielewi ata uzeeni waniache na jeans zangu suruali za vitambaa mwisho kuvaa maskirt kama Kofi Olomide watoto wakuambie unazeeka vibaya