KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 32,529 Reaction score 76,691 Jun 19, 2024 #21 Askari kioja said: Mi sielewi ata uzeeni waniache na jeans zangu suruali za vitambaa mwisho kuvaa maskirt kama Kofi Olomide watoto wakuambie unazeeka vibaya Click to expand... kuvaa kama olomide ndio hiyo niliyosema unadhifu una wadhifu sasa wewe iga tukuseme..😀
Askari kioja said: Mi sielewi ata uzeeni waniache na jeans zangu suruali za vitambaa mwisho kuvaa maskirt kama Kofi Olomide watoto wakuambie unazeeka vibaya Click to expand... kuvaa kama olomide ndio hiyo niliyosema unadhifu una wadhifu sasa wewe iga tukuseme..😀
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 96,456 Reaction score 156,324 Jun 19, 2024 #22 Mnge ainisha aina ya mavazi husika, watu wakasaule madukani.
EvilSpirit JF-Expert Member Joined Jun 15, 2017 Posts 10,576 Reaction score 16,644 Jun 19, 2024 #23 Ndg mleta mada kuhusu ma-handsome kupata feva kama bwana mmoja alivyodai
matunduizi JF-Expert Member Joined Aug 20, 2018 Posts 7,968 Reaction score 19,368 Jun 19, 2024 Thread starter #24 EvilSpirit said: Ndg mleta mada kuhusu ma-handsome kupata feva kama bwana mmoja alivyodai Click to expand... Mwonekano nadhifu hata kama sura sio nzuri unqpata uwezekano mkubwa wa kupqta fevq kuliko mtu aliyetokea kuhunihuni au mchafumchafu
EvilSpirit said: Ndg mleta mada kuhusu ma-handsome kupata feva kama bwana mmoja alivyodai Click to expand... Mwonekano nadhifu hata kama sura sio nzuri unqpata uwezekano mkubwa wa kupqta fevq kuliko mtu aliyetokea kuhunihuni au mchafumchafu