Kuna Uhusiano wa Mahakama na Vyombo vya Habari nchini?

Kuna Uhusiano wa Mahakama na Vyombo vya Habari nchini?

Beatrice Kamugisha

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2019
Posts
762
Reaction score
6,984
Naombeni mtusaidie kujua, mahakama na vyombo vya habari Kuna mgogoro au makatazo yoyote?

Vyombo vya habari vipo kimya sana kuhusu kinachoendelea mahakamani hasa kwenye kesi kubwa zinazoendelea. Hakuna taarifa na updates si kwenye television Wala radio.

Nini kimetokea?
 
Yaani hadi leo hujui kuwa Tanzania kuna serikali ya kidikteta?!

Nani anataka apate cha mtemakuni kwa kuonyesha live shahidi wa upande wa serikali wenye kesi ya kubambikia akitapatapa hadi haja kutoka kwa kupigwa maswali yenye weledi kutoka kwa mawakili werevu wa upande wa utetezi?
 
Back
Top Bottom