Naombeni mtusaidie kujua, mahakama na vyombo vya habari Kuna mgogoro au makatazo yoyote?
Vyombo vya habari vipo kimya sana kuhusu kinachoendelea mahakamani hasa kwenye kesi kubwa zinazoendelea. Hakuna taarifa na updates si kwenye television Wala radio.
Nini kimetokea?