Kuna uhusiano wowote kati ya malezi na kujifungua kwa operation?

KWA SASA ASILIMIA KUBWA YA WANAOJIFUNGUA KWA KISU WENGI WAO NI WALE WALIOKUWA WANAJIHUSISHA NA MAPENZI YA KINYUME NA MAUMBILE.
WANAONA AIBU KUJIFUNGUA KAWAIDA MAANA WANASEMWA SANA NA MANESI KWA KUJINYEA HOVYO
 
Mimi naomba nicheke kwanza😂 ingekuwa mikiki mikiki ni sababu ya kujifungua kirahisi basi Mimi ningejifungua huku nakunywa juisi....nyumbani sikulelewa kizembe....Hadi ujauzito unatimiza miezi 9 Sina house girl, nilikuwa napambana mwenyewe, ...full kufanya mazoezi.
Kubwa zaidi nikakimbia kujifungulia Kairuki nikajipeleka Mwananyamala gvt na bima nikaficha.....nilikuwa natamani kupush, sitaki kabisa kusikia C section.....lakini wapiiii😂😂😂 Sasa hivi nna mshono wangu safi😂😂😂😂 Haya mambo ni kuomba Mungu tu.

Hata hiyo zamani unayoizungumzia, rate ya vifo vinavyotokana na uzazi ilikuwa juu tofauti na Sasa.
Hapa malezi niliongelea kabla ya kuolewa tangu unazaliwa unalelewa na wazazi hapa ndipo malezi nayazungumzia,

Ndoa haibadilishi tabia ya mtu ndoa inakomaza tabia za mtu
 
KWA SASA ASILIMIA KUBWA YA WANAOJIFUNGUA KWA KISU WENGI WAO NI WALE WALIOKUWA WANAJIHUSISHA NA MAPENZI YA KINYUME NA MAUMBILE.
WANAONA AIBU KUJIFUNGUA KAWAIDA MAANA WANASEMWA SANA NA MANESI KWA KUJINYEA HOVYO
Ha ha ha ha mmmh hili lina ukweli?
 
KWA SASA ASILIMIA KUBWA YA WANAOJIFUNGUA KWA KISU WENGI WAO NI WALE WALIOKUWA WANAJIHUSISHA NA MAPENZI YA KINYUME NA MAUMBILE.
WANAONA AIBU KUJIFUNGUA KAWAIDA MAANA WANASEMWA SANA NA MANESI KWA KUJINYEA HOVYO
Huko leba utoe mpalange usitoe unaweza acha mzigo. Hivi mnafikiri kuleta kiumbe duniani ni lelemama. Tunaona video nyingi wanaume wanaosindikiza wake zao kujifungua wanavyopoteza fahamu.

Hebu tuheshimu kina mama hata hizo operations zina risks kibao mtu hawezi kubali kuhatarisha maisha yake kizembe
 
sababu kuu mbili

1. kafirwa sana, ili mavi yasitoke kwa njia ya kawaida kuepuka aibu
2. ku-maintain 'mnato' wa libia majora
 
Kuna maoni unayasoma na kupita tu...hata ku quote aibu. Kama hufahaamu kitu bora ukae kimya sio lazima maoni yako yaonekane.
 
Safi kwa maelezo mazuri. Pia kwa kuongezea tu, siku hizi pesa mbele, issue ya operation ndio inalipa zaidi kuliko kujifungua kawaida. Hivyoo angalia wauguzi hawana muda wa kusubili zaidi, ni pita huku tu, then andaa mshiko wa OP
Mimi naomba nicheke kwanza😂 ingekuwa mikiki mikiki ni sababu ya kujifungua kirahisi basi Mimi ningejifungua huku nakunywa juisi....nyumbani sikulelewa kizembe....Hadi ujauzito unatimiza miezi 9 Sina house girl, nilikuwa napambana mwenyewe, ...full kufanya mazoezi.

Kubwa zaidi nikakimbia kujifungulia Kairuki nikajipeleka Mwananyamala gvt na bima nikaficha.....nilikuwa natamani kupush, sitaki kabisa kusikia C section.....lakini wapiiii😂😂😂 Sasa hivi nna mshono wangu safi😂😂😂😂 Haya mambo ni kuomba Mungu tu.

Hata hiyo zamani unayoizungumzia, rate ya vifo vinavyotokana na uzazi ilikuwa juu tofauti na Sasa.
 
Mwanamke usiolewe na mtu mwenye kichwa kikubwa, mnajitakia wenyewe
 
Mimi naomba nicheke kwanza😂 ingekuwa mikiki mikiki ni sababu ya kujifungua kirahisi basi Mimi ningejifungua huku nakunywa juisi....nyumbani sikulelewa kizembe....Hadi ujauzito unatimiza miezi 9 Sina house girl, nilikuwa napambana mwenyewe, ...full kufanya mazoezi.

Kubwa zaidi nikakimbia kujifungulia Kairuki nikajipeleka Mwananyamala gvt na bima nikaficha.....nilikuwa natamani kupush, sitaki kabisa kusikia C section.....lakini wapiiii😂😂😂 Sasa hivi nna mshono wangu safi😂😂😂😂 Haya mambo ni kuomba Mungu tu.

Hata hiyo zamani unayoizungumzia, rate ya vifo vinavyotokana na uzazi ilikuwa juu tofauti na Sasa.
Kama baba mtoto ana kichwa kikubwa lazima uzae kwa operesheni
 
Back
Top Bottom