Hapa malezi niliongelea kabla ya kuolewa tangu unazaliwa unalelewa na wazazi hapa ndipo malezi nayazungumzia,Mimi naomba nicheke kwanza๐ ingekuwa mikiki mikiki ni sababu ya kujifungua kirahisi basi Mimi ningejifungua huku nakunywa juisi....nyumbani sikulelewa kizembe....Hadi ujauzito unatimiza miezi 9 Sina house girl, nilikuwa napambana mwenyewe, ...full kufanya mazoezi.
Kubwa zaidi nikakimbia kujifungulia Kairuki nikajipeleka Mwananyamala gvt na bima nikaficha.....nilikuwa natamani kupush, sitaki kabisa kusikia C section.....lakini wapiiii๐๐๐ Sasa hivi nna mshono wangu safi๐๐๐๐ Haya mambo ni kuomba Mungu tu.
Hata hiyo zamani unayoizungumzia, rate ya vifo vinavyotokana na uzazi ilikuwa juu tofauti na Sasa.
Ha ha ha ha mmmh hili lina ukweli?KWA SASA ASILIMIA KUBWA YA WANAOJIFUNGUA KWA KISU WENGI WAO NI WALE WALIOKUWA WANAJIHUSISHA NA MAPENZI YA KINYUME NA MAUMBILE.
WANAONA AIBU KUJIFUNGUA KAWAIDA MAANA WANASEMWA SANA NA MANESI KWA KUJINYEA HOVYO
Huko leba utoe mpalange usitoe unaweza acha mzigo. Hivi mnafikiri kuleta kiumbe duniani ni lelemama. Tunaona video nyingi wanaume wanaosindikiza wake zao kujifungua wanavyopoteza fahamu.KWA SASA ASILIMIA KUBWA YA WANAOJIFUNGUA KWA KISU WENGI WAO NI WALE WALIOKUWA WANAJIHUSISHA NA MAPENZI YA KINYUME NA MAUMBILE.
WANAONA AIBU KUJIFUNGUA KAWAIDA MAANA WANASEMWA SANA NA MANESI KWA KUJINYEA HOVYO
Are he or she? Na kama he mkeo atapata tabu sana ombea kimimba kisimuendesheKwa hiyo ulitaka uwe na house girl wakati hujajifungua,ni walewale.
Mimi naomba nicheke kwanza๐ ingekuwa mikiki mikiki ni sababu ya kujifungua kirahisi basi Mimi ningejifungua huku nakunywa juisi....nyumbani sikulelewa kizembe....Hadi ujauzito unatimiza miezi 9 Sina house girl, nilikuwa napambana mwenyewe, ...full kufanya mazoezi.
Kubwa zaidi nikakimbia kujifungulia Kairuki nikajipeleka Mwananyamala gvt na bima nikaficha.....nilikuwa natamani kupush, sitaki kabisa kusikia C section.....lakini wapiiii๐๐๐ Sasa hivi nna mshono wangu safi๐๐๐๐ Haya mambo ni kuomba Mungu tu.
Hata hiyo zamani unayoizungumzia, rate ya vifo vinavyotokana na uzazi ilikuwa juu tofauti na Sasa.
Atakuja kuomba ushauri huku we subiriAre he or she? Na kama he mkeo atapata tabu sana ombea kimimba kisimuendeshe
Kama baba mtoto ana kichwa kikubwa lazima uzae kwa operesheniMimi naomba nicheke kwanza๐ ingekuwa mikiki mikiki ni sababu ya kujifungua kirahisi basi Mimi ningejifungua huku nakunywa juisi....nyumbani sikulelewa kizembe....Hadi ujauzito unatimiza miezi 9 Sina house girl, nilikuwa napambana mwenyewe, ...full kufanya mazoezi.