figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
Salaam Wakuu,
Nimena Majina ya Ukoo ya Kink Kikii na Makamu wa Rais wa Tanzania yanafanana.
Kumbuka Makamu wa Rais wa anatokea Kigoma Mpakani mwa Congo. Na Kink Kikii anatokea Congo Mpakani na Kigoma Tanzania.
Makamu wa Rais wa Tanzania anaitwa Philip Isdor Mpango na Mwanamuziki alofariki anaitwa Boniface Mwanza Mpango. Je, ni ndugu?
Kumbuka hii mipaka yetu imewekwa na Wakoloni. Ndo Maana kuna Wanasai wa Kenya na Wamasai wa Tanzania na lugha zinafanana na Koo zinaingiliana. Si ajabu.