Majina ya kibantu yanafanana
Kule kongo kuna waziri alikuwa anaitwa Membe na huku Tanzania alike to waziri anaitwa Membe walikutana siku moja
Mkuu waziri wa Congo aliitwa "Lambert Mende" mengine ni ndimi kutokuwa na mfupa ndugu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Majina ya kibantu yanafanana
Kule kongo kuna waziri alikuwa anaitwa Membe na huku Tanzania alike to waziri anaitwa Membe walikutana siku moja
Salaam Wakuu,
Nimena Majina ya Ukoo ya Kink Kikii na Makamu wa Rais wa Tanzania yanafanana.
Kumbuka Makamu wa Rais wa anatokea Kigoma Mpakani mwa Congo. Na Kink Kikii anatokea Congo Mpakani na Kigoma Tanzania.
Makamu wa Rais wa Tanzania anaitwa Philip Isdor Mpango na Mwanamuziki alofariki anaitwa Boniface Mwanza Mpango. Je, ni ndugu?
Kumbuka hii mipaka yetu imewekwa na Wakoloni. Ndo Maana kuna Wanasai wa Kenya na Wamasai wa Tanzania na lugha zinafanana na Koo zinaingiliana. Si ajabu.
Joseph kabila si mkongo wala mtanzania,ni mtusi wa Rwanda,jinale hypolite kanembe kazembelembe,mzee kabila alimuasili tuUkistaajabu ya Felipe Mpango,usishangae pia Joseph kabila Kutokea hapo msasani kwenda kuwa Rais wa Congo.
Tusishangaane ilhali tu ndugu wamoja.
Ni aidha kinki kii ana asili ya tanzania au mpango ana asili ya kongo,chagua linalokufaaHaya tufanye ni ndugu......lengo lako unafosi ionekane MH. Makamu wa Rais siyo mtanzania " Asilia".
What next, mipaka hii iliwekwa na wazungu sisi tuliwekeana himaya tu na siyo mijumuisho mkubwa ya makabila kama hii ya leo.
Wamanyema wapo tz na kongo,lakini kiasili ni wakongoMajina ya kibantu yanafanana na kuingiliana bila kujali mipaka tuliyoirithi kutoka kwa wakoloni,
Sidhani kama hao wawili wana uhusiano wa damu.
Isidor Mpango alikuwa na ndugu yake Gerald Mpango ambaye ni marehemu sasa, huyu mwamba namfahamu tangu miaka ya sitini akiwa mwalimu wa Sunday School pale Kibondo Anglican church na baadaye miaka ya themanini alikuwa mdhamini wangu kwenye kipaimara wakati huo akiwa mchungaji wa kanisa la Anglican pale Mwanga kilimani, Kigoma.
Nijuavyo mimi hawa kina Mpango ni wanyaheru wa Manyovu.
Hakuna TAABU sisi sote ni watu. Anaitwa NZABAYANGA.VP analo jina lingine la kirundi kabisa limenitoka kidogo
Ulimaliza darasa LA nne! This is the most stupid thing to saySalaam Wakuu,
Nimena Majina ya Ukoo ya Kink Kikii na Makamu wa Rais wa Tanzania yanafanana.
Kumbuka Makamu wa Rais wa anatokea Kigoma Mpakani mwa Congo. Na Kink Kikii anatokea Congo Mpakani na Kigoma Tanzania.
Makamu wa Rais wa Tanzania anaitwa Philip Isdor Mpango na Mwanamuziki alofariki anaitwa Boniface Mwanza Mpango. Je, ni ndugu?
Kumbuka hii mipaka yetu imewekwa na Wakoloni. Ndo Maana kuna Wanasai wa Kenya na Wamasai wa Tanzania na lugha zinafanana na Koo zinaingiliana. Si ajabu.
Majina ya kibantu yanafanana na kuingiliana bila kujali mipaka tuliyoirithi kutoka kwa wakoloni,
Sidhani kama hao wawili wana uhusiano wa damu.
Isidor Mpango alikuwa na ndugu yake Gerald Mpango ambaye ni marehemu sasa, huyu mwamba namfahamu tangu miaka ya sitini akiwa mwalimu wa Sunday School pale Kibondo Anglican church na baadaye miaka ya themanini alikuwa mdhamini wangu kwenye kipaimara wakati huo akiwa mchungaji wa kanisa la Anglican pale Mwanga kilimani, Kigoma.
Nijuavyo mimi hawa kina Mpango ni wanyaheru wa Manyovu.
Jina hulikumbuki utajuàje ni la kirundi?VP analo jina lingine la kirundi kabisa limenitoka kidogo
Jamaa alikuwa anasoma shule ya sekondari Zanaki jioni. Yani shule fulani ya hadhi ya chini kabisa Dar.Joseph kabila si mkongo wala mtanzania,ni mtusi wa Rwanda,jinale hypolite kanembe kazembelembe,mzee kabila alimuasili tu
Inahitaji elimu ya juu kujua kuwa Ntibazonkiza ni jina la kirundi?Jina hulikumbuki utajuàje ni la kirundi?
Muda mfupi kabla ya babaake kuuawa kwa risasi, akikimbilia brazzavilleJamaa alikuwa anasoma shule ya sekondari Zanaki jioni. Yani shule fulani ya hadhi ya chini kabisa Dar.
Baadaye tukasikia anapigana Zaire, baafaye baba yake kauawa akawa rais.
Nashauri pombe kali za bei rahisi zipigwe marufukuSalaam Wakuu,
Nimena Majina ya Ukoo ya Kink Kikii na Makamu wa Rais wa Tanzania yanafanana.
Kumbuka Makamu wa Rais wa anatokea Kigoma Mpakani mwa Congo. Na Kink Kikii anatokea Congo Mpakani na Kigoma Tanzania.
Makamu wa Rais wa Tanzania anaitwa Philip Isdor Mpango na Mwanamuziki alofariki anaitwa Boniface Mwanza Mpango. Je, ni ndugu?
Kumbuka hii mipaka yetu imewekwa na Wakoloni. Ndo Maana kuna Wanasai wa Kenya na Wamasai wa Tanzania na lugha zinafanana na Koo zinaingiliana. Si ajabu.
Sijui wako wapi kwa sasa, mara ya mwisho kuonana na Dr Gerald Mpango RIP ni December 1994.Rose na Mwiza wako wapi?
Marehemu Askofu Dk. Gerald Mpango alioa dada wa damu wa Daud Balali.
Wanyaheru na wamanyema ni koo mbili tofauti, wanyaheru wanaishi Heru juu na Heru chini katika wilaya ya Kasulu. 😳Wamanyema wapo tz na kongo,lakini kiasili ni wakongo