figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
Nadhani ni kufanana tu kwa majinaSalaam Wakuu,
Nimena Majina ya Ukoo ya Kink Kikii na Makamu wa Rais wa Tanzania yanafanana.
Kumbuka Makamu wa Rais wa anatokea Kigoma Mpakani mwa Congo. Na Kink Kikii anatokea Congo Mpakani na Kigoma Tanzania.
Makamu wa Rais wa Tanzania anaitwa Philip Isdor Mpango na Mwanamuziki alofariki anaitwa Boniface Mwanza Mpango. Je, ni ndugu?
Kumbuka hii mipaka yetu imewekwa na Wakoloni. Ndo Maana kuna Wanasai wa Kenya na Wamasai wa Tanzania na lugha zinafanana na Koo zinaingiliana. Si ajabu.
Tumesikia Mkuu Tena Kwa Sauti Ya JuuHukusikia CDF anasema kuna wakimbizi wameshika nyadhifa za juu
Na wale mabalozi wa Japani waliopita mhe. Sato na mhe. Masaki nao walikuwa wanaudugu na samaki sato na kijiji na Masaki mkoa wa pwani! Tutumie vichwa vyetu kufikiri kwa kiwango cha utu uzima.Salaam Wakuu,