Kuna uhusiano wowote kati ya Philip Isdor Mpango na Marehemu King Kikii

Majina ya kibantu yanafanana

Kule kongo kuna waziri alikuwa anaitwa Membe na huku Tanzania alike to waziri anaitwa Membe walikutana siku moja

Mkuu waziri wa Congo aliitwa "Lambert Mende" mengine ni ndimi kutokuwa na mfupa ndugu.
 
Haya tufanye ni ndugu......lengo lako unafosi ionekane MH. Makamu wa Rais siyo mtanzania " Asilia".

What next, mipaka hii iliwekwa na wazungu sisi tuliwekeana himaya tu na siyo mijumuisho mkubwa ya makabila kama hii ya leo.
 
Mkuu swali lako hili kwanini sasa wakati king Kikumbi Mpango keshatangulia mbele za haki?

Au ndiyo kwanza umejua kuwa naye ni bin Mpango?
 
Ukistaajabu ya Felipe Mpango,usishangae pia Joseph kabila Kutokea hapo msasani kwenda kuwa Rais wa Congo.

Tusishangaane ilhali tu ndugu wamoja.
Joseph kabila si mkongo wala mtanzania,ni mtusi wa Rwanda,jinale hypolite kanembe kazembelembe,mzee kabila alimuasili tu
 
Haya tufanye ni ndugu......lengo lako unafosi ionekane MH. Makamu wa Rais siyo mtanzania " Asilia".

What next, mipaka hii iliwekwa na wazungu sisi tuliwekeana himaya tu na siyo mijumuisho mkubwa ya makabila kama hii ya leo.
Ni aidha kinki kii ana asili ya tanzania au mpango ana asili ya kongo,chagua linalokufaa
 
Wamanyema wapo tz na kongo,lakini kiasili ni wakongo
 
Ulimaliza darasa LA nne! This is the most stupid thing to say
 
Huko mipakani ni kawaida sana unakuta mtu mzazi wake alitoka nchi ya jirani au babu yake alitoka nchi jirani na unakuta bado wapo ndugu zao huko. Muhimu ni mtu kuwa mtanzania.
 
Rose na Mwiza wako wapi?
Marehemu Askofu Dk. Gerald Mpango alioa dada wa damu wa Daud Balali.
 
Joseph kabila si mkongo wala mtanzania,ni mtusi wa Rwanda,jinale hypolite kanembe kazembelembe,mzee kabila alimuasili tu
Jamaa alikuwa anasoma shule ya sekondari Zanaki jioni. Yani shule fulani ya hadhi ya chini kabisa Dar.

Baadaye tukasikia anapigana Zaire, baafaye baba yake kauawa akawa rais.
 
Jamaa alikuwa anasoma shule ya sekondari Zanaki jioni. Yani shule fulani ya hadhi ya chini kabisa Dar.

Baadaye tukasikia anapigana Zaire, baafaye baba yake kauawa akawa rais.
Muda mfupi kabla ya babaake kuuawa kwa risasi, akikimbilia brazzaville
 
Nashauri pombe kali za bei rahisi zipigwe marufuku
 
Hakyanani JF nayo imebadilika. Wewe kabisa unaweka bandiko la aina hii ?!
Mungu atusaidie kwa kweli 😢
 
Wamanyema wapo tz na kongo,lakini kiasili ni wakongo
Wanyaheru na wamanyema ni koo mbili tofauti, wanyaheru wanaishi Heru juu na Heru chini katika wilaya ya Kasulu. 😳
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…