Kuna uhusiano wowote Kati ya rangi ya mwanamke na joto la mwili?

lee Vladimir cleef

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
9,571
Reaction score
35,475
Kwa mapenzi makubwa kabisa nasema, nawapenda wanawake wa rangi zote, weusi na weupe.

Kuna uhusiano wowote Kati ya rangi nyeusi na ukali wa joto la mwilini?

Kusema kweli, imenitokea Mara zote nilipokula tunda la mwanamke mweusi/black Sana nakuta wana papuchi za Moto Sana,kuzidi wanawake weupe.

Weupe kweli wanna joto, lakini weusi wamezidi. Hapa nazungumzia zaidi dada zetu Waafrika.

Je, Kuna uhusiano wowote Kati ya rangi za wanawake na joto tundani?
 
Ukisoma sayansi utajua tuu,Hata nguo nyeusi na nyeupe ukizianika ipi itaanza kukauka? Kwa nini?
 
Mbna kama umeshajijibu
Nimejiuliza nataka kupata maelezo yako Mkuu Kama ni kweli au ni hisia zangu tu?so unajua Kuna mtu akinywa aina Fulani ya kilevi atakuambua kichwa kinamuuma,mwingine kinywaji hichohicho atakuambua ndo ankipendaga kuliko vyote.
 
Sio wanawake tu, hata ma men weusi ndio joto lipo juu,

Men weusi tunafaa sana kwenye sehemu za bardi chest huwa hazipoi.
Mtoto akisikia baridi unamwambia wew chezea tu hapo kwenye kifua ka meza ya kamali.
 
jumapili yote hii unawaza takataka hizi za nini?
Naomba unisamehe Kama nimekukwaza,unaweza ukaona ni mada ya kijinga lkn Kuna Cha kujifunza.
Kama Kuna ukweli kwenye swali langu unaweza kujiona mweupe Kama mzu gu,lkini mume wako akakose njia kwa akaonja tunda la msichana wa kazi mweusi Kama mkaa au muuza bar wasio na maumbo mazuri Wala sura nzuri Kama yako akakupotezea mazima,ukatafuta waganga na waganga bila kujua sababu.Ukijua sababu tayari umepata ufumbuzi.
Mada zinafundisha hizi.
 
nikijijua mimi sio mweusi na weupe nlionao hauna joto lolote utanipa dawa ya kujicream niwe blacky?
 
Yaani hili swali hata mrembo wa Kizungu aliwahi niuliza!
 
Naungana na hoja za wajumbe waliotangulia
 
Hizo ni hisia za mtaani kwasababu hakuna ushahidi wa kisayansi unaoelezea hilo.
Nijuavyo mimi ni kuwa joto la mwili wa binadamu yoyote hubadilika kutegemeana na mazingira na hali aliyonayo, unaweza kulala na mwanamke x leo akawa na joto la kawaida na baada ya masaa au siku chache akawa na joto jingi, kwa waliooa hili wanalijua kupitia wake zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…