A big no! Hujasoma science. Hiyo unaikuta kwenye topic ya black body radiation. Katika mazingira sawa, kitu cheusi huwa na joto kuliko cheupe. Wahurumie sana kina mama wanao vaa baibui jeusi juani.Hizo ni hisia za mtaani kwasababu hakuna ushahidi wa kisayansi unaoelezea hilo.
Nijuavyo mimi ni kuwa joto la mwili wa binadamu yoyote hubadilika kutegemeana na mazingira na hali aliyonayo, unaweza kulala na mwanamke x leo akawa na joto la kawaida na baada ya masaa au siku chache akawa na joto jingi, kwa waliooa hili wanalijua kupitia wake zao.