Kweli mtupuWanaJF hebu tupeane uzoefu kwenye hili
Je, kuna uhusiano wowote wa kuchelewa kuolewa na kuanza kujitegemea kwa wadada kuna watu wanasema wadada wakianza kujitegemea wanakuwa wahuni kupelekea watu kutokuwachumbia na kuwaoa.
Watu wanasema wanawake wakiwa makwao wanaolewa haraka je ni kweli.
Nielekeze mkuu niakavute jikoKuna wabinti 6 now wanakimbiza 40’s wako kwa wazazi wao lakini hakuna hata mmoja alieolewa. Yani hata kusafiri nje ya Dar tu hawaruhusiwi. Maisha hayana formula.