Kuna uhusiano wowote kujitegemea mtoto wa kike na kuchelewa kuolewa

Kuna uhusiano wowote kujitegemea mtoto wa kike na kuchelewa kuolewa

ommytk

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2015
Posts
520
Reaction score
1,143
WanaJF hebu tupeane uzoefu kwenye hili

Je, kuna uhusiano wowote wa kuchelewa kuolewa na kuanza kujitegemea kwa wadada kuna watu wanasema wadada wakianza kujitegemea wanakuwa wahuni kupelekea watu kutokuwachumbia na kuwaoa.

Watu wanasema wanawake wakiwa makwao wanaolewa haraka je ni kweli.
 
No uongo huo labda uzungumzie amejitegemea na nimsom kwel hap kuolew kasheshe.
 
Pia elimu kwa wanawake .....some time inafanya kuolewa kuwa ni ngumu..........since inawafanya wawe intelligent ...
 
Kujitegemea, unamaanisha kujimudu au tu ile kuondoka kwao na kupanga chumba mtaani?
 
Kuolewa n bahati tu,Kuna wanaume tunaoa hadi wanawake wanaofanya kazi bar(bar za arusha zina mademu wakali,nahisi mama watoto wangu atapatikana huku)
 
Kuna wabinti 6 now wanakimbiza 40’s wako kwa wazazi wao lakini hakuna hata mmoja alieolewa. Yani hata kusafiri nje ya Dar tu hawaruhusiwi. Maisha hayana formula.
 
WanaJF hebu tupeane uzoefu kwenye hili

Je, kuna uhusiano wowote wa kuchelewa kuolewa na kuanza kujitegemea kwa wadada kuna watu wanasema wadada wakianza kujitegemea wanakuwa wahuni kupelekea watu kutokuwachumbia na kuwaoa.

Watu wanasema wanawake wakiwa makwao wanaolewa haraka je ni kweli.
Kweli mtupu
 
Back
Top Bottom