Kuna ukomavu mkubwa katika akili za vijana na Watanzania kwa ujumla wake!

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
23,234
Reaction score
28,473
Facts is:-
Kunapotokea suala la starehe ya muziki,basi tufanye muziki,
------
Kunapotokea suala la michezo,basi tufanye michezo,
------
Kunapotokea suala la siasa au muda wa siasa tufanye siasa..
 
Hii yote mjomba ni baada ya kuzomewa pale Mlimani City.
Kila kitu huwa kina reflect jambo ambalo sometimes huwa jibu la suala fulani,we shouldn't hate,ukubwa jalala,na kujifunza kitu inaitwa """""trends of time being""""
 
CCM msipotumia sherehe, misiba na michezo mtawapata wapi watu wa kuwaambia mambo yenu??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…