Megalodon
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 5,233
- 12,398
When the solution is simple , God is answering.- Albert Einstein!
Gwajima had a very simple touch …… like a butterfly: everything fall apart !
Haya mambo yanahitaji watu wenye AKILI nyingi sana kuyahandle, sio akili za elimu ya kudonoa donoa kama kuku wa kienyeji kisha ukafika juu;-
Ku deal na human beings, unahitaji kuwa na ufaham wa Emotional Intelligence. Kama Atomic Energy and gun powder ni solution, Israel wangekuwa kwenye utulivu na Palestina kwa sasa.
Tayari kuna vita kali sana kati ya watawala na viongozi wa kiroho specifically Christianity. Mmetupigia Padre wetu, mmetisha viongozi wa kikristo watu wamechili, mmefungia kanisa bila ya ground zozote za maana, watu wamechili na wanawatizama kwa mbali tu .
Kitu pekee ninachoweza kushauri; Viongozi wa Kiroho wa Kikristu wengi ni Intellectual…they have gone to school…very unfortunate, you will not be able to enslave them .
Badala yake, mnaingia kwenye vita ambavyo havitoweza kuzimwa na atomic energy and gun powder.
Hata hivyo, I appreciate what is happening kwa sasa; ukombozi unakuja kwanza kwa civil war na kuvurugana- so hii ni hatua nzuri tunapoelekea kwa maana bado wengi wataibuka.
It is a set up
Dr Megalodon Ndesaruo Mushi, PhD Fellow
University of Ottawa
Canada