Echisute
JF-Expert Member
- Oct 16, 2018
- 639
- 637
Anasomea udaktari aliopewa Samia,Unasomea udaktari wa kutibu mbwa au nguruwe?
Anasomea udaktari aliopewa Samia,Unasomea udaktari wa kutibu mbwa au nguruwe?
Soon maji yatakorogeka na watu watavurugana kila mmoja na anayemmudu!👇👇Kuvurugana au kenge fulani kuvurugwa?
Paskali anatakiwa kuacha imani za kuamini kuwa watanzania hawawezi kufanya kitu. He might be surprised some days ……Ni kweli kabisa ulichoeleza, lakini kumbuka kwamba kila lenye mwanzo lazima pia lina mwisho. Nothing is permanent!
Ndio maana unaandika mambo ya hovyo, hovyo kabisa, hovyo sana, hicho chuo wakufukuzeBoth
Haya maneno siyo mageni mitaa hii kipindi Cha uchaguzi,,miaka yote Tangu miaka ya 2000😂,empty words