Kuvurugana au kenge fulani kuvurugwa?When the solution is simple , God is answering.- Albert Einstein!
Gwajima had a very simple touch …… like a butterfly: everything fall apart !
Haya mambo yanahitaji watu wenye AKILI nyingi sana kuyahandle, sio akili za elimu ya kudonoa donoa kama kuku wa kienyeji kisha ukafika juu;-
Ku deal na human beings, unahitaji kuwa na ufaham wa Emotional Intelligence. Kama Atomic Energy and gun powder ni solution, Israel wangekuwa kwenye utulivu na Palestina kwa sasa.
Tayari kuna vita kali sana kati ya watawala na viongozi wa kiroho specifically Christianity. Mmetupigia Padre wetu, mmetisha viongozi wa kikristo watu wamechili, mmefungia kanisa bila ya ground zozote za maana, watu wamechili na wanawatizama kwa mbali tu .
Kitu pekee ninachoweza kushauri; Viongozi wa Kiroho wa Kikristu wengi ni Intellectual…they have gone to school…very unfortunate, you will not be able to enslave them .
Badala yake, mnaingia kwenye vita ambavyo havitoweza kuzimwa na atomic energy and gun powder.
Hata hivyo, I appreciate what is happening kwa sasa; ukombozi unakuja kwanza kwa civil war na kuvurugana- so hii ni hatua nzuri tunapoelekea kwa maana bado wengi wataibuka.
It is a set up
Dr Megalodon Ndesaruo Mushi, PhD Fellow
University of Ottawa
Canada
Gwaji miuno...wanaohitaji kukombolewa wanabadili tu wakombozi,bado mobetoUpepo unabadilika kwa kasi sana kutoka kwa Mbowe mwamba tuvushe,Mwabukusi,Tundu A Lisu mpaka kumfikia Gwaji boy kiboko ya Maponjolo😁
Good thinking,When the solution is simple , God is answering.- Albert Einstein!
Gwajima had a very simple touch …… like a butterfly: everything fall apart !
Haya mambo yanahitaji watu wenye AKILI nyingi sana kuyahandle, sio akili za elimu ya kudonoa donoa kama kuku wa kienyeji kisha ukafika juu;-
Ku deal na human beings, unahitaji kuwa na ufaham wa Emotional Intelligence. Kama Atomic Energy and gun powder ni solution, Israel wangekuwa kwenye utulivu na Palestina kwa sasa.
Tayari kuna vita kali sana kati ya watawala na viongozi wa kiroho specifically Christianity. Mmetupigia Padre wetu, mmetisha viongozi wa kikristo watu wamechili, mmefungia kanisa bila ya ground zozote za maana, watu wamechili na wanawatizama kwa mbali tu .
Kitu pekee ninachoweza kushauri; Viongozi wa Kiroho wa Kikristu wengi ni Intellectual…they have gone to school…very unfortunate, you will not be able to enslave them .
Badala yake, mnaingia kwenye vita ambavyo havitoweza kuzimwa na atomic energy and gun powder.
Hata hivyo, I appreciate what is happening kwa sasa; ukombozi unakuja kwanza kwa civil war na kuvurugana- so hii ni hatua nzuri tunapoelekea kwa maana bado wengi wataibuka.
It is a set up
Dr Megalodon Ndesaruo Mushi, PhD Fellow
University of Ottawa
Canada
Unasomea udaktari wa kutibu mbwa au nguruwe?When the solution is simple , God is answering.- Albert Einstein!

Askofu mwizi wa kura hana baraka kutoka kwa MunguWhen the solution is simple , God is answering.- Albert Einstein!

I'd like to differ, Watanzania sio watu wa hivyo, there will be no civil war na hakuna kuvurugana, ila wavurugaji ndio watavurugwa!。Hata hivyo, I appreciate what is happening kwa sasa; ukombozi unakuja kwanza kwa civil war na kuvurugana- so hii ni hatua nzuri tunapoelekea kwa maana bado wengi wataibuka.
It is a set up
Dr Megalodon Ndesaruo Mushi, PhD Fellow
University of Ottawa
Canada
Ndio mimi nashangaa washauri wa kuua na kuteka wanasikilizwaje? Au wanaowasikiliza na kuwapa go ahead ya kufanya hivyo hawana akili? Huwezi kuteka na kuua ukategemea ukawa salama, wataibuka tu wengine wenye hasira zaidi ya wale uliowateka na kuwaua. Haijawahi kuwa suluhisho hilo, bali ndio huchochea matatizo zaidi.Aliyeasisi ule msemo wa ^wakinyamaza hawa, mawe yatapiga kelele,^ alikuwa extraordinary!
Alipokamatwa TAL, tukashuhudia NRNE ndiyo kwaanza inazidi kulipuka na kupamba moto!
Punde si punde, ghafla bin vuu, wakaibuka Wakenya, international voices, activists, human rights groups, interest groups, mataifa mbalimbali na hata wabia wao kila kona ya dunia!
Kama hiyo haitoshi, juzi bila kutarajia, Askofu Gwajima akaruka hewani!
Kisha tumemsikia Mbunge mwenzake Mpina.
Hapo hapo kuna viongozi wa dini -Wakristu kwa Waislamu!
Just like magical dominos!
Coincidence? I don't think so!
There is definitely THE GUIDE to a better tomorrow!
^Weeping may endure for a night, but joy comes in the morning.^ ~Psalm 30:5
Una ushahidi chief...? Au fulani alisema...?Askofu mwizi wa kura hana baraka kutoka kwa Mungu
Kila mara mnajitia kuchochea wengine ninyi mkiwa nyuma ya keyboards zenu! Ahahahahaha!!When the solution is simple , God is answering.- Albert Einstein!
Gwajima had a very simple touch …… like a butterfly: everything fall apart !
Haya mambo yanahitaji watu wenye AKILI nyingi sana kuyahandle, sio akili za elimu ya kudonoa donoa kama kuku wa kienyeji kisha ukafika juu;-
Ku deal na human beings, unahitaji kuwa na ufaham wa Emotional Intelligence. Kama Atomic Energy and gun powder ni solution, Israel wangekuwa kwenye utulivu na Palestina kwa sasa.
Tayari kuna vita kali sana kati ya watawala na viongozi wa kiroho specifically Christianity. Mmetupigia Padre wetu, mmetisha viongozi wa kikristo watu wamechili, mmefungia kanisa bila ya ground zozote za maana, watu wamechili na wanawatizama kwa mbali tu .
Kitu pekee ninachoweza kushauri; Viongozi wa Kiroho wa Kikristu wengi ni Intellectual…they have gone to school…very unfortunate, you will not be able to enslave them .
Badala yake, mnaingia kwenye vita ambavyo havitoweza kuzimwa na atomic energy and gun powder.
Hata hivyo, I appreciate what is happening kwa sasa; ukombozi unakuja kwanza kwa civil war na kuvurugana- so hii ni hatua nzuri tunapoelekea kwa maana bado wengi wataibuka.
It is a set up
Dr Megalodon Ndesaruo Mushi, PhD Fellow
University of Ottawa
Canada
Watanzania ni wale wale juzi,jana na leo,ni wazuri kwa kulalamika na kupiga tuu kulele lakini when it comes to take action,they don't do anything!Watanzania ni maneno maneno na kulialia, Vitendo 0. Katiba ni maneno tu! Je, 2023 tuendeleze maneno matupu na kulialia au tubadilike tufanye kitu?🤣 kaka Nyakati zinabadilika sana.Watanzania wa leo sio wa jana
When the solution is simple , God is answering.- Albert Einstein!
Gwajima had a very simple touch …… like a butterfly: everything fall apart !
Haya mambo yanahitaji watu wenye AKILI nyingi sana kuyahandle, sio akili za elimu ya kudonoa donoa kama kuku wa kienyeji kisha ukafika juu;-
Ku deal na human beings, unahitaji kuwa na ufaham wa Emotional Intelligence. Kama Atomic Energy and gun powder ni solution, Israel wangekuwa kwenye utulivu na Palestina kwa sasa.
Tayari kuna vita kali sana kati ya watawala na viongozi wa kiroho specifically Christianity. Mmetupigia Padre wetu, mmetisha viongozi wa kikristo watu wamechili, mmefungia kanisa bila ya ground zozote za maana, watu wamechili na wanawatizama kwa mbali tu .
Kitu pekee ninachoweza kushauri; Viongozi wa Kiroho wa Kikristu wengi ni Intellectual…they have gone to school…very unfortunate, you will not be able to enslave them .
Badala yake, mnaingia kwenye vita ambavyo havitoweza kuzimwa na atomic energy and gun powder.
Hata hivyo, I appreciate what is happening kwa sasa; ukombozi unakuja kwanza kwa civil war na kuvurugana- so hii ni hatua nzuri tunapoelekea kwa maana bado wengi wataibuka.
It is a set up
Dr Megalodon Ndesaruo Mushi, PhD Fellow
University of Ottawa
Canada
Watanzania ni wale wale juzi,jana na leo,ni wazuri kwa kulalamika na kupiga tuu kulele lakini when it comes to take action,they don't do anything!Watanzania ni maneno maneno na kulialia, Vitendo 0. Katiba ni maneno tu! Je, 2023 tuendeleze maneno matupu na kulialia au tubadilike tufanye kitu?
P
Haya maneno siyo mageni mitaa hii kipindi Cha uchaguzi,,miaka yote Tangu miaka ya 2000😂,empty wordsAnguko kuu lipo njiani linakuja.
The Rise, Shine and Fall of Regime:: The Beginning of the End!
Kama umeahi kutazama ile filamu inayoitwa kwa jina la "Gods Must Be Crazy" ndio inaenda kutokea nchini Tanzania siku siyo nyingi zijazo. Kilichobaki Sasa hivi ni 'trigger' tu ili yote yanayotarajiwa yatimie.