Kuna ukwel gan kwenye hii mishahara ya wachezaji?

stakehigh

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2019
Posts
7,134
Reaction score
4,556
1713122710169.png

1713122723688.png
 
Wewe nawe jaribu kufanya reasoning hata kwa kichwa chako kabla ya ku post huo ujinga. Pacome na Diarra ni wachezaji wa kigeni tena wenye viwango vikubwa hawawezi kulipwa hiko kiwango tena wanazidiwa na Mkude

si ni mkongwe 😂
 
Kw

Kwanini isiwezekane, mshahara ni makubaliano baina ya mtu na mtu/taasisi.

Pacome amekuja nchi hii kusaka life tena hajaja wa kugombaniwa kama aziz key, ye aliletwa na wakala na bado simba wakazingua, Subiri warenew mikataba yao ndio utaona balaa lao sababu ya kiwango walichoonesha.

Unadhani kwa soka la bongo wakati pacome anakuja chini kati yake na mkude nani alikuwa kaishaonesha ubora wake ? Huenda pia hichi anacholipwa hapo yanga huko asec alikuwa hapati hata nusu yake.

Subiri mkataba mpya ndio muda wake wa kutamba, hatolipwa hiyo pesa mbuzi.
 
Diarra ana misimu mingapi ndani ya Yanga? Huo mshahara alipwe Diarra bado hajakatwa kodi na mambo mengine kibao unadhani angevumilia kucheza Yanga misimu yote wakati ndio mchezaji tegemeo golini?

Point yako ya mchezaji kugombewa, Guede hakuna klabu iliyokuwa inagombaniana na Yanga ila kwenye hiyo attachment aliyotuma mleta uzi ndio anaonekana analipwa ela nyingi kuliko wote
 
anaelipwa kuliko wote ni shekan
 
Hii ni propaganda za kuivuruga Yanga, wachezaji na mashabiki kwa ujumla kuelekea kwenye derby. Ni mtu kajitengenezea ili kuifanya wana Yanga wasiwe pamoja kuelekea kwenye mechi muhimu tarehe 20.
 
Mshahara ni makubaliano kata ya mchezaji, wakala na klabu husika.
Hakuna tatizo Kama hayo ni makubaliano yao.
 
Guede huu hata mimi imenishangaza.

Vipi, kama mshahara huo ikiwa kaishakatwa kodi kabisa, kwenye mkataba lazima kila mtu avutie kwake, fei alileta mapenzi uchwara hatimae baadae akaanza kulia lia, huenda diarra nae kwake ni mzigo mwingi, akiingia mkataba mpya nae atalilia maslahi zaidi, usishangae akala 10+
 
Back
Top Bottom