Kuna ukweli eti GSM ni mngoni kutoka mkoani Ruvuma.?

Kama ni kweli Gharib Said Mohamed basi Songea ipewe hadhi ya jiji kwa ajili ya super billionaire GSM

Gharib Said Mohamed ni moja ya billionea mkubwa sana ambaye anabishara nyingi pia ni mdhamini wa Yanga SC
Yeye ndio amesema ni Mngoni?
 
Bilionea wenu aliyekuwa akifadhiri Majimaji Shafii Bola yuko wapi?
 
Kama ni kweli Gharib Said Mohamed basi Songea ipewe hadhi ya jiji kwa ajili ya super billionaire GSM

Gharib Said Mohamed ni moja ya billionea mkubwa sana ambaye anabishara nyingi pia ni mdhamini wa Yanga SC
Ni kweli alizaliwa Chalinze pale penye misufi mingi zamani Chalinze Hoteli.
 
Kama ni kweli Gharib Said Mohamed basi Songea ipewe hadhi ya jiji kwa ajili ya super billionaire GSM

Gharib Said Mohamed ni moja ya billionea mkubwa sana ambaye anabishara nyingi pia ni mdhamini wa Yanga SC
Hapana, si kweli. Mfanyabiashara Ghalib Said Mohamed (GSM), ambaye ni mmiliki wa makampuni ya GSM Group, hana asili ya kabila la Wangoni wala hatokei mkoani Ruvuma.
 
Back
Top Bottom