Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 75,495
- 185,562
Hakuna foro yahuyo GSM nawengine tumfahamu japo kwapicha???
Hakuna foro yahuyo GSM nawengine tumfahamu japo kwapicha???
Itakuwa huna taarifa sahihi kumhusu.Hapana, si kweli. Mfanyabiashara Ghalib Said Mohamed (GSM), ambaye ni mmiliki wa makampuni ya GSM Group, hana asili ya kabila la Wangoni wala hatokei mkoani Ruvuma.
Unaelewa unacho postKama ni kweli Gharib Said Mohamed basi Songea ipewe hadhi ya jiji kwa ajili ya super billionaire GSM
Gharib Said Mohamed ni moja ya billionea mkubwa sana ambaye anabishara nyingi pia ni mdhamini wa Yanga SC