BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 5,197
- 14,380
Saa hiziMuda wa kuoga
Mama ako kasema ukaogeSaa hizi
Hadi muda wa kulalaMama ako kasema ukaoge
Yeye ndio amesema ni Mngoni?Kama ni kweli Gharib Said Mohamed basi Songea ipewe hadhi ya jiji kwa ajili ya super billionaire GSM
Gharib Said Mohamed ni moja ya billionea mkubwa sana ambaye anabishara nyingi pia ni mdhamini wa Yanga SC
Injinia Hersi na alianza kusupport majimaji fc kabla ya yangaYeye ndio amesema ni Mngoni?
Hersi ndio kasema boss wake ni Mngoni?Injinia Hersi na alianza kusupport majimaji fc kabla ya yanga
Ni kweli alizaliwa Chalinze pale penye misufi mingi zamani Chalinze Hoteli.Kama ni kweli Gharib Said Mohamed basi Songea ipewe hadhi ya jiji kwa ajili ya super billionaire GSM
Gharib Said Mohamed ni moja ya billionea mkubwa sana ambaye anabishara nyingi pia ni mdhamini wa Yanga SC
Hapana, si kweli. Mfanyabiashara Ghalib Said Mohamed (GSM), ambaye ni mmiliki wa makampuni ya GSM Group, hana asili ya kabila la Wangoni wala hatokei mkoani Ruvuma.Kama ni kweli Gharib Said Mohamed basi Songea ipewe hadhi ya jiji kwa ajili ya super billionaire GSM
Gharib Said Mohamed ni moja ya billionea mkubwa sana ambaye anabishara nyingi pia ni mdhamini wa Yanga SC