Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 75,495 Reaction score 185,562 Jun 11, 2026 #21 Smart911 said: Ahsante kwa taarifa... Cc: Mahondaw Click to expand... Hakuna foro yahuyo GSM nawengine tumfahamu japo kwapicha???
Smart911 said: Ahsante kwa taarifa... Cc: Mahondaw Click to expand... Hakuna foro yahuyo GSM nawengine tumfahamu japo kwapicha???
Orketeemi JF-Expert Member Joined Feb 12, 2013 Posts 5,591 Reaction score 14,369 Jun 11, 2026 #22 Mshana Jr said: Hapana, si kweli. Mfanyabiashara Ghalib Said Mohamed (GSM), ambaye ni mmiliki wa makampuni ya GSM Group, hana asili ya kabila la Wangoni wala hatokei mkoani Ruvuma. Click to expand... Itakuwa huna taarifa sahihi kumhusu. Kuanzia baba wa Gharib na Gharib mwenyewe wana wametokea au wamewahi kuishi Ruvuma miaka mingi iliyopita
Mshana Jr said: Hapana, si kweli. Mfanyabiashara Ghalib Said Mohamed (GSM), ambaye ni mmiliki wa makampuni ya GSM Group, hana asili ya kabila la Wangoni wala hatokei mkoani Ruvuma. Click to expand... Itakuwa huna taarifa sahihi kumhusu. Kuanzia baba wa Gharib na Gharib mwenyewe wana wametokea au wamewahi kuishi Ruvuma miaka mingi iliyopita
D David Mathias Member Joined Dec 13, 2011 Posts 28 Reaction score 20 Jun 11, 2026 #23 BabaMorgan said: Kama ni kweli Gharib Said Mohamed basi Songea ipewe hadhi ya jiji kwa ajili ya super billionaire GSM Gharib Said Mohamed ni moja ya billionea mkubwa sana ambaye anabishara nyingi pia ni mdhamini wa Yanga SC Click to expand... Unaelewa unacho post
BabaMorgan said: Kama ni kweli Gharib Said Mohamed basi Songea ipewe hadhi ya jiji kwa ajili ya super billionaire GSM Gharib Said Mohamed ni moja ya billionea mkubwa sana ambaye anabishara nyingi pia ni mdhamini wa Yanga SC Click to expand... Unaelewa unacho post
Titicomb JF-Expert Member Joined Jan 27, 2012 Posts 17,119 Reaction score 32,195 Jun 11, 2026 #24 Hata Mohamed Dewj mnyaturu wa Singida. Rostam mnyamwezi wa Tabora. Manji alikuwa mzaramo wa Mbagala Temeke.
Hata Mohamed Dewj mnyaturu wa Singida. Rostam mnyamwezi wa Tabora. Manji alikuwa mzaramo wa Mbagala Temeke.