Sio hivyo tu watu wana witness kupona kansaNafikiri kikubwa ni wewe unachoamini, wenzetu wanaenda kwa mtu, wanaeleza matatizo yao, wanasikia nafuu( therapist) sisi tunaenda kwa mungu, tukiaminishwa tutapona, ukiamini utasikia unafuu. ILA vitu kama kiwete kapona, HIV, siamini. Ila ni therapy nzuri kwa wagonjwa, kuwapa hope.
Amen mtumishKuna yule alieniponya akanambia inuka uende zako umesamehewa dhambi zako na usitende dhambi Tena
Akawaambia Kama ni mwenye dhambi Mimi sijui, Kama ni seremala Mimi sijui, moja nilijualo ni kwamba nilikuwa kipofu na Sasa ninaona baada ya Bwana yule kuniponya
Nilistuka Sana mtu ametapika misumar 3 inchKuna wengine.utasikia alikuja na uvimbe yupo hoi.amelala kwenye hema la uponyaji aliposikia maombezi uvimbe umepotea.
wengine walikwenda na magongo na fimbo.ghafla wameanza kutembea [emoji16][emoji16].mwamposa mungu anakuona.
Ubarikiwe, yatupasa tusiangalie aliyekuponya ni nani na matendo yake ni yapiKuna yule alieniponya akanambia inuka uende zako umesamehewa dhambi zako na usitende dhambi Tena.
Akawaambia kama ni mwenye dhambi Mimi sijui, Kama ni seremala Mimi sijui, moja nilijualo ni kwamba nilikuwa kipofu na Sasa ninaona baada ya Bwana yule kuniponya
Kaka watu wanapona kbsa cha msimgi n Iman tuSio hivyo tu watu wana witness kupona kansa