Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 13,538
- 21,664
Huo ni usanii kabisa sijawahi kuwaamini hawa watu Na kamwe sitokuja kuwaamini, anachofanya Mwamposa Na wenziwe ni version ya marudio waliyofanya akina Gwajima, Kakobe , Rwekatare kipindi moto haujakata.
Kuna msichana mmoja tulikuwa tunaishi naye jiran hapo Kawe alikuwa anasali Mikochen B kwa Rwekatare marehem, kila jpili akawa ananishawish niende kanisani kwao japo mm ni Rc basi nikaona ngoja nimridhishe nikajionee hiyo miujiza anayonisimuliaga, kufika nakutana na bonge la moja la nyomi inaletwa tu na mabas,
Ibada ikaanza tukawa tunaenda vizur tu sambamba, sasa picha linaanza muda mfupi kabla ya matoleo wakaja watu tofaut tofaut wakihimiza matoleo kilivhonishtua mm ni nguvu kubwa iliyokuwa inatumika kushawish watu kutoa nikaanza kupata waswas lakin nikaona sio case nikaendelea na ibada, muda mfupi kabla ya kutoa sadaka tukatangaziwa kuna watu wameanguka juu ya paa la kanisa mchungaji ana shout tuwalete au tusiwalete? Kanisa likalipuka kwa shangwe " Waletwe" waliletwa madhabauni wakiwa wamechoka wachafu wamebeba matunguri na walipohojiwa wakasema eti walikuwa wanatokea Tanga na walikuwa wanasafar yao Ila walipofika kwenye paa la kanisa wakakutana na nguvu za Mungu moto ukakata ndio wakaangukiamo huko kwenye paa, kanisa likalipuka tena kwa Shangwe za kusifu Ila mm nilikuwa nawasikiliza kwa machale Sana nikahic hili ni igizo kabisa tunatengenezewa nikamuuliza yule binti kulikon? Akanijibu hata wiki iliyopita kuna wachawi pia walikwama nikasema ok, sasa kilichokuja kuniudhi ndio nikaondoka mazima ni pale eti kwenye kutoa sadaka kuna madaraja, wanaanza wenye bahasha na wale wenye mafungu manene manene alafu mwisho ndio siye wa buku buku, jero nk. Nikaona huu ni upuuzi nikamwambia dem naenda msalani ndio ikawa kimoja, kiufupi haya makanisa Yana maigizo meng Sana .