BodGanleonid
JF-Expert Member
- Nov 14, 2022
- 3,021
- 4,348
Haha..ila waumini wa kwa mwamposa bhana yani mtu anatoa shuhuda kwamba nilipotumia mafuta ya upako na maji nimenunua gari nimejenga na nyumba...huu ndo uongo wa kwanza unaonidhihirishia kuwa uyu mtume so wa kweli maana kwa MUNGU Hamna mseleleko kama wengi wanavozani wanaosoma biblia hapa wananielewa vyema