Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 53,537
- 133,017
Madaktari wanakosea, hospitali nyingi za bongo hazina vifaa vya kisasa, kukiwa hakuna vifaa vya kisasa vyenye uwezo wa ku detect ugonjwa sio sababu ya wewe kusema ni uchawiUmenena yoote..... unakuta unauamwa unafanya mavipimo hospital tofauti tofauti unaambiwa hauna ugonjwa au unachoumwa hakiendani na unachojisikia...... hapo ndio utajua dunia ina pande mbili
Mama yangu mzazi alipimwa hospitalini akaambiwa anauvimbe tumboni, akapanic nikamuambia nenda hospitali binafsi, huko akakutwa yuko fresh hana tatizo ni tumbo tu lakawaida linamsumbua.
Kuna mwingine aliandikiwa kufanya upasuaji baada ya vipimo vya xray kuonesha kuna kitu kipo ndani ya mwili wake, lakini mwisho wa siku ilikuja kufahamika kua mende aliingia kwenye mashine iliyotumika kupima, so kile kitu kilichokua kinatafsirika kipo tumboni kwa mtu ilikua ni mende ambaye yupo kwenye hicho kifaa