King Kisali
JF-Expert Member
- Nov 20, 2019
- 1,041
- 1,351
Jina la Yesu linatumika kweli kuibia watu na kuwatapeli , Mungu anawaona mnatapeli rumpen proletariat ?.Kabla ya mstukio yao ya maombi
Zinafanyika rehasal za maana
Ova
Jina la Yesu linatumika kweli kuibia watu na kuwatapeli , Mungu anawaona mnatapeli rumpen proletariat ?.Kabla ya mstukio yao ya maombi
Zinafanyika rehasal za maana
Ova
Ila Sasa tayari miili ipo katika life span, maana yake inazeeka na kuchoka kiasi cha kuhitajika kurudi mavumbini.Hapa hapana ndugu yangu,mpango wa awali haukuwa kufa ,Mungu hakutaka watu wafe au waumwe.Kulingana na Biblia kifo kilikuja baada tu ya mwanadamu kukosa.
Pia pamoja na kuwa kifo kiliingia duniani Mungu bado akataka watu waishi wakiwa na afya njema.Kuthibitisha hilo tumeona all over Injili Yesu akiponya magonjwa ya kila namna.
Suala la kusema binadamu wasipokufa duniani hapatatosha nadhani Mungu aliyeumba dunia na akataka tusife tayari alishakuwa na mpango.Kama ameweza kuumba dunia out of nothing asingekosa jibu juu ya swala hilo.
Kila anitafutae ataniona,watu tumekuwa wazito kutafuta Mungu anasema nini kwenye Neno lake watu tumekuwa wazito kutafuta kuyafanya Mapenzi ya Mungu,na hakika kama tukimtafuuta Mungu kwa bidii na kuwa hodari kuyaishi yale mapenzi yake mamlakani uwezawake na nguvu zake zitaishi ndani yako haitakuwa na stress ya kutafuta sijui mafuta maji sijui nn maana Mungu hufanya kazi ndani yako na huwa nawe wakati wote na mahala pote sasa ukishatambua hilo hautakuwa wa kawaidaUmenena vema.
Huwa najiuliza inakuwaje nabii anasema njoo na tunda apple (maisha yako yawe matamu/mvuto na thamani kama tunda apple
Njoo na mshumaa tuuwashe tuyape nuru maisha yako
Njoo na makifuli tufungue vifungo vyako na kufunga vifungo vya kichawi.
Mara waumini wananyeshwa maziwa mgando na kulambishwa asali.
Kwanini drama zote hizi? Kwanini isiwe nabii kumuekea mtu mkono kichwani akamuombea baraka, magonjwa n.k?
Hivi kweli Yesu kristo alifanya hizi mambo?
Umeshajifunga kwenye biblia halaf unasema uko logical...Sijajua hapo sasa unachobishia wewe ni kipi,ni kwamba Bible imedanganya au mimi sijaelewa inasema nini?
You can't lecture me kuhusiana na Logic,i am well verse in all three laws of logic na katika post zangu nimetumia Law of non contradiction if you have noticed. Usijaribu kuweka limit ya uelewa wako ukataka kusema its Logic.Thats not true.
What i said is simply biblical.
Codes za kichawi zikoje?Ni suala la kiimani zaidi pia yapo mafuta ya upako na maji ya baraka ya kuzimu.
Siri anayo mchungaji
Ya kuzimu.Maji ya baraka wanachukua Yale ya kuoshea maiti yanaongezewa dawa na manuizo ya roho za kichawi Ili yatende Kazi.Mafuta ya upako vinachomwa viungo vya Siri yaani K na M kwenye tanuru za kichawi kisha yanagemwa Yale mafuta wanauziwa vitone vidogo manabii wachawi na wao wanayachanganya na mafuta ya mizeituni au korie Ili Yale mengi ile nguvu ya kipepo na kichawi iliyonenewa kwenye Yale matone inaenea kwenye mafuta yote hata kama ni mapipa.Then manabii wachawi uyatumia makanisani kwao kutendea miujiza ya kichawi na kuwaibia waumini wao,pia utumia mafuta ya watoto wachanga na misukule pia yaliyonuizwa kichawi kunuiza ni kuyaita majini ya utendaji yaaingie kwenye mafuta au maji hayo so kama umelogwa kichawi Yale mapepo yanawafukuza mapepo wenzao kwa mwili wa mngonjwa au muombewa.
Pia yapo mafuta na maji ya kawaida tu sema yametamkiwa tu maneno ya Mungu hapa nabii ucheza tu saikolojia ya muumini Ili kuistua imani yake.
Mungu alimuumba mwanadamu kamili na akampa mamlaka zote na nguvu zote haitaji mganga wala nabii Ili kutatua shida zake za kiroho au kiuchumi sema tu kwa sababu ya ukosefu wa maarifa watu ulazimika kuwategemea wanadamu.Ukizijua codes za wachawi awakusumbui unawaona wapumbavu tu ,ukimjua shetani akusumbui.
Kuzijua Siri zao.zikiwemo ant uchawi yaani vizuizi vya negative power of witchCodes za kichawi zikoje?
Toa ufafanuzi zaidi mkuu ili tuweze kuwadhibiti wachawiKuzijua Siri zao.zikiwemo ant uchawi yaani vizuizi vya negative power of witch
Elimu nyingi zipo online siku hizi za mwisho elimu zote zipo wazi.Toa ufafanuzi zaidi mkuu ili tuweze kuwadhibiti wachawi
Aina gani ya miti na maua inayofukuza wachawi?Elimu nyingi zipo online siku hizi za mwisho elimu zote zipo wazi.
Mchawi hana akili.
Uchawi ni negative power wewe kuwa positive haukudhuru.Tumia mimea na madini yanayoblock negative power ikiwemo kupanda miti na maua yanayo punguza nguvu uchawi nyumbani kwako.Jiconnect direct na positive power ktk zile laws of nature.
Nguvu ni mbili Dunia hasi au chanja maamuzi anayo mwanadamu ajiconnect na nguvu ipi Ili itende Kazi
MKomamanga (pomegranate)Aina gani ya miti na maua inayofukuza wachawi?
Sawa mkuuMKomamanga (pomegranate)
Nasikia hvyo lakin mingine atakwambia
Ipo mingi ukiingia google elimu ni pana.Aina gani ya miti na maua inayofukuza wachawi?
Asante mkuu. Bila kusahau maombi kwaJINA LA YESUIpo mingi ukiingia google elimu ni pana.
Kwa uchache kivumbasi,kitunguu saumu hivi upunguza/uondoa nguvu za kichawi.
Kunywa juice zake au tafuna majani au punje.Tangu nilipopata elimu ya kutafuna majani ya kivumbasi ushuhuda wa uhakika riziki pesa KILA siku sikosi nikikosa leo haipiti siku tatu napata,hata hapa kuna mtu kanipa elf 20 sikumuomba tumepiga story karidhika na huduma yangu kanitoa 20.Kuna mawe ukivaa mfano ya wa rozali au tashibihi yanablock nguvu ya uchawi.Kitunguu saumu ublock nguvu ya uchawi.Kivumbasi uondoa nuksi,mikosi na uvuta pesa na bahati,huu sio ushirikina ni uwezo ambao Mungu kaupa mimea Ili imsaidie mwanadamu thus kuna mimea ya dawa mingi upatikana mitaani japo uonekana ni magugu Mungu kaiweka iwasaidie wanadamu kujifungua dhidi ya nguvu za giza.
Mchawi utumia miti na kuna miti uharibu uchawi,ukosefu tu wa maarifa ndo upelekea watu kuumia
Jesus christ ndo source ya positive power ukiwa nae hakuna mchawi wala jini wote ni wapumbavu tu watakuogopaAsante mkuu. Bila kusahau maombi kwaJINA LA YESU