[emoji3][emoji3][emoji3]watu wanameza hirizi sembuse kutapika?Tukuweke kundi gani sasa.. wewe unaamini kutapika hirizi ila sio kutapika misumali. Mimi vyote naona maajabu.
Ningeona hata mtu akitapika hirizi.
Ningeamini mtu anaweza tapika rozi royce ya diamond
Tunamkufuru Sana mungu kutumia jina lake kudanganya watuNana kwaku bonsam ni ghana international traditional vodoo healer.
Yaani jujuman wa kimataifa amewapa nguvu za kichawi manabii zaidi ya elf 8 duniani.Nguvu ya kufanya mazingaombwe makanisani.
Manabii wengine nguvu zao zipo nyuma migongo yao huwa na mabaunsa uzuia mtu asikae nyuma yao, wengine chini ya kapeti madhabauni wameweka uchawi wao,ya mapete siku hizi awavai watu wamewashtukia.suti zao ni nyekundu,nyeupe,awalitaji jina la Yesu,uhubiri mafanikio zaidi kuliko utukufu
Hiv unajuaHabari Wana jamvi,
Moja kwa moja kwenye mada.
Kiukweli kila mtu ana Imani yake na linapokuja suala la matatizo kila mtu huamini kile anachoona kinaweza kumsaidia wapo wanaokimbilia kwa waganga pia wapo wanaomkimbilia mungu.
Nimekua nikifuatilia vipindi vya television hasa hizi channels za manabii wakubwa hapa Tanzania, watu wanatoa shuhuda mbali mbali.
Mfano mtu anaona viumbe vya ajabu baada ya kutumia mafuta ya upako vinakufa oapo hapo.
Kutapika hirizi (Hii probably ipo)
Kutapika au kujisaidia misumari. (Mtu unaishije na misumari tumboni)
Kuona nyoka lakini baada ya kumwagiwa mafuta ya upako au maji wanakufa (How comes nyoka akafa kwa maji tena sio kajinyoka tu joka la maana)
Mwingine anasema nilikua na HIV lakini baada ya kutumia mafuta na maji ya upako nimepima sinao tena.
Hivi ni kweli haya Mambo au promo? Ikumbukwe ni kosa kuaminisha watu unaweza ponesha maradhi sugu kwa njia ya maombi au namna nyingine isio ya kitabibu
Je, ni kweli haya Mambo? Au ndo siku za mwisho itatendeka miujiza hatutosadiki?
View attachment 2003811
Umeongea kisayansi Zaid, ongeza nyama kidogoHiv unajua
1.magonjwa
2.vifo
Ni kati ya mfumo/mpango ambao upo ili dunia iweze kwenda mbele na maisha yaendelee...endapo binadam hatokufa
Hii dunia itafika mwisho...so Alieumba vyote alijua hawa lazima wafe ..wapokezane maisha...imagine wanadam wasingekua wanakufa..
Na ndomana wanasayansi wanajaaribu kuiweka dunia kwenye equilibrium kwa kutengeneza hata magonjwa ilimrad mwanadam afe ili kubalance ecosystem...
Sabab ya maendeleo ya technolojia..mwanaadam amekua anachelewa sana kufa..so hii si sahih
Mwanadam na wanyama wengne lazima wafe ili dunia iendeleee
Kwahyo unaponambia alieyumba huo mpango tena aende kinyume kwa kuwa save tena hawa watu wasiumwe or kufa..haingii akilin
Virus.bacteria.fungi..etc...waliumbwa sio kwa bahat mbaya kaka...wapo kwa kazi maalum..ya kutuua
Nmemaliza
Yesu alitumia udongo na mate akampaka kipofu akaonaMiujiza ndani ya kanisa ipo.Haijaanza leo wala haijaanza jana.Lakini pia Biblia imetuambia kuna manabii wa uongo.Hawajaenza leo wala hawajaanza jana.
Nirudi kwenye ninachokifahamu kuhusu maji,mafuta,vitambaa nk vinavyoitwa vya Upako.Unapopata nafasi ya kuuliza kuhusiana na uhalali wa huduma hii wengi watarudi na kukuonyesha mifano kadhaa ya agano la kale,suala la nyoka kuning'inizwa na watu wakapona,kuhusu kijiti kilichowekwa kwenye maji yakawa safi kwa ajili ya kunywa nk.
Mimi binafsi sikubaliani na haya majibu.Matendo yaliyokuwa yakifanyika kabla ya ujio wa Kristu yalifanywa kama kivuli cha mambo yajayo.Infacts kila kitu kilichofanyika na kuandikwa kwenye vitabu vya agano la kale vilikuwa ni vielelezo na vivuli vya ministry ya Yesu Kristu. Pengine kabla ya ujio wa Kistru ningeweza kukubaliana na hayo mambo ya hivyo vitu.
Baada ya Yesu Kristru kuja kila kitu kikafanywa halisi hapakuwa tena na haja ya vielelezo wala vivuli.Yesu alipokuja na kuondoka akatoa mamlaka ya kutumia jina lake halisi (sio vielelezo tena) kwenye kuomba chochote. Tunapozungumzia chochote namaanisha Uponyaji,Ulinzi,Provision,Uzazi, nk. Hapakuwa na haja wala limitation za kuomba.Sasa kama tunaweza kuomba chochote kwa jina la Yesu kwanini tutumie vielelezo tena ili kupata yote tunayoweza kuyaomba kwa jina la Yesu?Inamaana tunaamini kuwa mchungaji anaweza kuombea nguvu ya Yesu ikakaa kwenye kitambaa au maji lakini nguvu hiyo hiyo ya Yesu haiwezi kufanya kazi mchungaji akiniombea tu kwa jina hilo hilo? Au mchungaji anatumia nguvu nyingine kwenye hivyo vitambaa ambayo hatuijui?
Na kwanini tunanunua hiyo huduma?tunatoa sadaka na natambua kama hiyo huduma ni ya muhimu kiasi hicho tungeweza kutumia sehemu ya sadaka kuyaandaa na kuwagawia watu makanisani wakatumie.
My point ni kwamba hatuhitaji tena kutumia vielelezo kuaccess nguvu ya Mungu,Yesu ametupa mamlaka ya kutumia Jina lake kwa ajili ya kila kitu.Ulimwengu wa giza ndo umebaki na unadili na vielelezo na vivuli.
PesaTunamkufuru Sana mungu kutumia jina lake kudanganya watu
Amosi-3: 7Wao SI ndio wanajiita manabii sijui wapakwa mafuta?
Ni ujanja ujanja na wizi.Umenena vema.
Huwa najiuliza inakuwaje nabii anasema njoo na tunda apple (maisha yako yawe matamu/mvuto na thamani kama tunda apple
Njoo na mshumaa tuuwashe tuyape nuru maisha yako
Njoo na makifuli tufungue vifungo vyako na kufunga vifungo vya kichawi.
Mara waumini wananyeshwa maziwa mgando na kulambishwa asali.
Kwanini drama zote hizi? Kwanini isiwe nabii kumuekea mtu mkono kichwani akamuombea baraka, magonjwa n.k?
Hivi kweli Yesu kristo alifanya hizi mambo?
UnasadikiYesu alitumia udongo na mate akampaka kipofu akaona
Mitume wa Yesu walitumia kitambaa pia, chumvi pia na mafuta yalitumika katika ishara na uponyaji Aina tofauti tofauti.
Kanisa katoliki hutumia maji ya baraka ambayo ni maji ya chumvi ambayo walokole huita maji ya upako, kwa katoliki sio nongwa isipokuwa walokole ndio nongwa, mafuta ya upako yamekuwa yakitumika sana na kanisa katoliki kuwapata wagonjwa mbalimbali na wale wa upako wa mwisho, siku ya kipaimara kanisa katoliki na Protestant mafuta hupakwa Kama ishara ya kumpokea Roho Mtakatifu.
Walokole wamefanya modification ya codes zilizokuwa zikitumika na Wakatoliki miaka dahari, shida ya walokole wameweka bayana wakati wakatoliki ilikuwa Kama Siri ya kambi.
Hata kwa waponyaji wa kiroho hutumia chumvi kuondosha nguvu hasi mwilini kwa binadamu.
Imani sio dini
Dini Zina mambo mengi yanayokinzana na uhalisia ....
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa hapana ndugu yangu,mpango wa awali haukuwa kufa ,Mungu hakutaka watu wafe au waumwe.Kulingana na Biblia kifo kilikuja baada tu ya mwanadamu kukosa.Hiv unajua
1.magonjwa
2.vifo
Ni kati ya mfumo/mpango ambao upo ili dunia iweze kwenda mbele na maisha yaendelee...endapo binadam hatokufa
Hii dunia itafika mwisho...so Alieumba vyote alijua hawa lazima wafe ..wapokezane maisha...imagine wanadam wasingekua wanakufa..
Na ndomana wanasayansi wanajaaribu kuiweka dunia kwenye equilibrium kwa kutengeneza hata magonjwa ilimrad mwanadam afe ili kubalance ecosystem...
Sabab ya maendeleo ya technolojia..mwanaadam amekua anachelewa sana kufa..so hii si sahih
Mwanadam na wanyama wengne lazima wafe ili dunia iendeleee
Kwahyo unaponambia alieyumba huo mpango tena aende kinyume kwa kuwa save tena hawa watu wasiumwe or kufa..haingii akilin
Virus.bacteria.fungi..etc...waliumbwa sio kwa bahat mbaya kaka...wapo kwa kazi maalum..ya kutuua
Nmemaliza
Viwete wanatembea vipofu wanaonaAmosi-3: 7
Hakika Bwana MUNGU hatafanya neno lo lote, bila kuwafunulia watumishi wake manabii siri yake.
Wao wanajiita manabii, wala hawajaitwa na Bwana Mungu.
Wale manabii walioitwa na Bwana Mungu daima hufunuliwa siri.
Hao manabii wa Tanzania kwani waliwahi kufunuliwa siri gani?
Kwahyo..virus..bacteria fungi na gems wengne wametoka wap...au ndo sabab ya kula tunda ndo wakaumbwa..Hapa hapana ndugu yangu,mpango wa awali haukuwa kufa ,Mungu hakutaka watu wafe au waumwe.Kulingana na Biblia kifo kilikuja baada tu ya mwanadamu kukosa.
Pia pamoja na kuwa kifo kiliingia duniani Mungu bado akataka watu waishi wakiwa na afya njema.Kuthibitisha hilo tumeona all over Injili Yesu akiponya magonjwa ya kila namna.
Suala la kusema binadamu wasipokufa duniani hapatatosha nadhani Mungu aliyeumba dunia na akataka tusife tayari alishakuwa na mpango.Kama ameweza kuumba dunia out of nothing asingekosa jibu juu ya swala hilo.
Sijajua hapo sasa unachobishia wewe ni kipi,ni kwamba Bible imedanganya au mimi sijaelewa inasema nini?Kwahyo..virus..bacteria fungi na gems wengne wametoka wap...au ndo sabab ya kula tunda ndo wakaumbwa..
Au kipind cha adam na eva kabla hawajala tunda .vitu vilikua havioz nn..hahaha
Matango pori ni meng kuliko ukwwl halis....
Mungu wa kwel anatuangalia anasema hiiiiiiiiiii wamedanganywa watu wangu
"Ulivyoongea haviko logicaly correct mkuu..."
Habari Wana jamvi,
Moja kwa moja kwenye mada.
Kiukweli kila mtu ana Imani yake na linapokuja suala la matatizo kila mtu huamini kile anachoona kinaweza kumsaidia wapo wanaokimbilia kwa waganga pia wapo wanaomkimbilia mungu.
Nimekua nikifuatilia vipindi vya television hasa hizi channels za manabii wakubwa hapa Tanzania, watu wanatoa shuhuda mbali mbali.
Mfano mtu anaona viumbe vya ajabu baada ya kutumia mafuta ya upako vinakufa oapo hapo.
Kutapika hirizi (Hii probably ipo)
Kutapika au kujisaidia misumari. (Mtu unaishije na misumari tumboni)
Kuona nyoka lakini baada ya kumwagiwa mafuta ya upako au maji wanakufa (How comes nyoka akafa kwa maji tena sio kajinyoka tu joka la maana)
Mwingine anasema nilikua na HIV lakini baada ya kutumia mafuta na maji ya upako nimepima sinao tena.
Hivi ni kweli haya Mambo au promo? Ikumbukwe ni kosa kuaminisha watu unaweza ponesha maradhi sugu kwa njia ya maombi au namna nyingine isio ya kitabibu
Je, ni kweli haya Mambo? Au ndo siku za mwisho itatendeka miujiza hatutosadiki?
View attachment 2003811
Upo vizuri, nguvu za kiroho kwa mtu yeye kama yeye ndo zimefichwa ila mtu mwenyewe akizijua akatumia kweli zinatenda na hakuna haja ya kwenda kununua hayo mafuta na vitambaa ambavyo mtu hajui yana nguvu za Mungu au shetani, na ndo maana watu wanaangamia kwa kukosa maarifa ya Imani na vitendo vya kuipa nguvu hiyo Imani na yote hayo yanasabishwa na kuzaa hovyo au kutokujua umuhimu wa kuleta kiumbe dunia na kukifanya kuwa na nguvu za kiroho tangu tumboni mwa mama na makuzi yake na kuelekezwa nini ukitumia katika Imani unavunja nguvu mbaya ndo maana hayo mafuta na vitambaa yanapata wafuasi wengi maana maarifa ya kiroho hasa Yale mazuri ya Mungu watu wameyapa kisogo kwa kujua ama kutokujua na kufanya Imani ihamie kwa mitume na siyo kwa Mungu aliyeifanya mbingu na dunia.Ni suala la kiimani zaidi pia yapo mafuta ya upako na maji ya baraka ya kuzimu.
Siri anayo mchungaji
Ya kuzimu.Maji ya baraka wanachukua Yale ya kuoshea maiti yanaongezewa dawa na manuizo ya roho za kichawi Ili yatende Kazi.Mafuta ya upako vinachomwa viungo vya Siri yaani K na M kwenye tanuru za kichawi kisha yanagemwa Yale mafuta wanauziwa vitone vidogo manabii wachawi na wao wanayachanganya na mafuta ya mizeituni au korie Ili Yale mengi ile nguvu ya kipepo na kichawi iliyonenewa kwenye Yale matone inaenea kwenye mafuta yote hata kama ni mapipa.Then manabii wachawi uyatumia makanisani kwao kutendea miujiza ya kichawi na kuwaibia waumini wao,pia utumia mafuta ya watoto wachanga na misukule pia yaliyonuizwa kichawi kunuiza ni kuyaita majini ya utendaji yaaingie kwenye mafuta au maji hayo so kama umelogwa kichawi Yale mapepo yanawafukuza mapepo wenzao kwa mwili wa mngonjwa au muombewa.
Pia yapo mafuta na maji ya kawaida tu sema yametamkiwa tu maneno ya Mungu hapa nabii ucheza tu saikolojia ya muumini Ili kuistua imani yake.
Mungu alimuumba mwanadamu kamili na akampa mamlaka zote na nguvu zote haitaji mganga wala nabii Ili kutatua shida zake za kiroho au kiuchumi sema tu kwa sababu ya ukosefu wa maarifa watu ulazimika kuwategemea wanadamu.Ukizijua codes za wachawi awakusumbui unawaona wapumbavu tu ,ukimjua shetani akusumbui.
Ngoja nikusaidie Ili upate nguvu za kiroho ambazo zipo mbili za kishetani au Mungu lazima wewe kama mhusika uwekwe wakifu au kufanyiwa matambiko ila yaliyo na nguvu unatakiwa ufanyiwe unapozaliwa Sasa ikitokea huna hizo nguvu za kiroho na ukashindwa kujifanyia mwenyewe ndo Kuna watu wametengeneza vitu vyao kwa nguvu wanazojua wao Ili utumie upate nafuu ya muda ila shida hazitaisha maana wewe kama wewe hujawekwa chini ya uangalizi wowote wa kiroho.Ongeza nyama kidogo kwenye matanur ya kichaawi
Kaka watu wanapona kbsa cha msimgi n Iman tu