MUTUYAMUNGU
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 1,824
- 4,385
Haleluyaaaa!Jesus christ ndo source ya positive power ukiwa nae hakuna mchawi wala jini wote ni wapumbavu tu watakuogopa
Haleluyaaaa!Jesus christ ndo source ya positive power ukiwa nae hakuna mchawi wala jini wote ni wapumbavu tu watakuogopa
Hili ni kweli mfano unaambiwa ua mama yako au mke wako au mtoto wako. INAUMA SANA. Ila huna ujanja kw kuwa umetekwa na bosi wako shetani.Mchawi hana akili thus ufanya mambo ya upumbavu yasiyo na faida kwake zaidi ya kumridhisha shetani.Na asipoyatenda upumbavu upewa adhabu kali Sana na. Shetani ikiwemo kuuliwa.So wachawi ni mateka wa shetani
Sasa kwanini msiende hospitali zote hapa funiani mkawapaka hayo mafuta na kuwaombea wakapona? Huoni kama utakuwa umeokoa watu wengi? Acheni sound mchicha bwanaUmenena yoote..... unakuta unauamwa unafanya mavipimo hospital tofauti tofauti unaambiwa hauna ugonjwa au unachoumwa hakiendani na unachojisikia...... hapo ndio utajua dunia ina pande mbili
Nenda Aga khan kawaambie wagonjwa wote hiko kitu. Unadhani wao hawamjui Mungu?Watu awajui tu nguvu ya jina la Yesu ukilitaja kwa kuaminisha Hakuna mpumbavu yeyeto anakayekusumbua
Yote ufanyika kwa imani,iwe kwa Mungu au ShetaniNenda Aga khan kawaambie wagonjwa wote hiko kitu. Unadhani wao hawamjui Mungu?
Kafara ya shetani umtaka mtu akuumae zaidi yaani yule umpendae zaidi.Pumbavu Sana shetaniHili ni kweli mfano unaambiwa ua mama yako au mke wako au mtoto wako. INAUMA SANA. Ila huna ujanja kw kuwa umetekwa na bosi wako shetani.
Mzee mmoja aliua mtoto wake rubani. Ndugu walimmaindi wazi wazi. Mtu kasoma hadi apate leseni ya kurusha ndege halafu shetani anakwambia namtaka huyo.
Sasa kwanini msiende hospitali zote hapa funiani mkawapaka hayo mafuta na kuwaombea wakapona? Huoni kama utakuwa umeokoa watu wengi? Acheni sound mchicha bwana
Kweli kabisaKafara ya shetani umtaka mtu akuumae zaidi yaani yule umpendae zaidi.Pumbavu Sana shetani
Kwetu sisi wakristo Jesus ni nguvu kuu .Unayo elimu ya mambo ya Universe kama huna huwezi elewa.Kifupi Jesus ni nguvu kushinda zote hata shetani ukimbia akisikia Jesus Power.Jesus christ ni nani..?! Una proove vipi kua yeye ndio source ya power ..
Una prove vipi kwamba mchawi / jini ndio wanatakiwa kukingwa..hamuoni kua nyinyi ni waongo na wanafiki..niksema pia basi yesu wako naye ni mchawi ntakosea?!
Basi hayo maombi na maji hayana nguvu. Endapo yana nguvu nendeni hospitali zote mkatoe wagonjwa. Huwa navunjika moyo unapo enda kuombewa na huponi alafu wanakupa jibu rahisi tu "huna imani" huoni ya kwamba labda ukitibu wagonjwa wote na wasio na imani watapata imani?Yote ufanyika kwa imani,iwe kwa Mungu au Shetani
Maombi ni imani huna upati uponyajiBasi hayo maombi na maji hayana nguvu. Endapo yana nguvu nendeni hospitali zote mkatoe wagonjwa. Huwa navunjika moyo unapo enda kuombewa na huponi alafu wanakupa jibu rahisi tu "huna imani" huoni ya kwamba labda ukitibu wagonjwa wote na wasio na imani watapata imani?
Then your god is useless.Maombi ni imani huna upati uponyaji
Kwahiyo bro unataka kusema wagonjwa wote duniani hawaamini? Muhimbili kuna wagonjwa wangapi? Mnashindwa kwenda na vikombe vyenu mkawapa maji na maombi wakapona? Na hao wanaokujaga huko makanisani kwenu mbona huwa wanarudi kama walivyokuja?Imani inatangulia halafu mafuta yanakuja, dunia ya kiroho usilinganishe ya mwili.
Ni imani za watu, unless uwe hauamini dini yoyote ndio uta comment kama wewe Mr Fire.
Ukristo una maji ya upako kwenye uislam kuna makombe ya dua.
For you not for meThen your god is useless.
Kwahiyo bro unataka kusema wagonjwa wote duniani hawaamini? Muhimbili kuna wagonjwa wangapi? Mnashindwa kwenda na vikombe vyenu mkawapa maji na maombi wakapona? Na hao wanaokujaga huko makanisani kwenu mbona huwa wanarudi kama walivyokuja?
Siyo kupanda tu ila ujue na matumizi yake ndo inasaidia.Aina gani ya miti na maua inayofukuza wachawi?
Kwa hiyo unashauri ambulance zianze kupeleka wagonjwa makanisani?Siku yakikupata, ukaenda Hospital wakasema hawaoni Ugonjwa, ukaenda kwa Waganga wakashindwa. Ndo utajua Umuhimu wa Imani na maombi.