Kuna ukweli juu ya uke wa mwanamke kutanuka kutokana na kufanya kazi nyingi?

Freed Freed

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2017
Posts
6,547
Reaction score
7,167
Habari wadau wa JF.

Kuna rafiki mmoja anaishi mbali na mume na huchukua miezi hata minne ndiyo wafanye kwikwichi kutokana na umbali huo.

Sasa juzi mume kaja na kadai kamwambia kila Mara akija anakuta uke yani K imetanuka na haitumiki. Sasa rafiki alichomjibu mume ni kuwa anafanya kazi nyingi ikiwa ni pamoja na kufua nguo za watoto wao wawili na ana muda mdogo sana wa kupumzika ukichanganya na kazi nyingine.

Pia alimwambia amtafutie house girl ili apate kupumzika na uke kurudi mwake. Hili limenishangaza na sikumhoji tena na anadai mume karidhika na jibu.


Je ni kweli kazi nyingi hutanaua K au uke?
 
Hayo mambo ya ndani una bahati sana kuyajua comrade Ila sifahamu kuwa ni bahati mbaya au nzuri.
Turudi kwenye mada, labda mke anaona Ainu kumwambia mumewe kuwa anatumia dildo.
Huyo jamaa naona anasaidiwa zoezi zima la Kwichi kwichi na Mwanaume mwingine....

Ila kuna ukweli kuwa mwanamke akikaa muda mrefu tena hiyo miezi kibonyeo huwa kina tight siku mkikutana....

Na hii nimefanya reference nilikuwa na katoto ka nje mahali nilikuwa na muda mrefu sijajkutana nako so siku hiyo najaribu test mtambo yani mkamuo kadhaa wazungu hao [emoji5] [emoji5] [emoji5] yaani kama vile nakula mwanamke ambaye ni virgin....
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Hayo mambo ya ndani una bahati sana kuyajua comrade Ila sifahamu kuwa ni bahati mbaya au nzuri.
Turudi kwenye mada, labda mke anaona aibu kumwambia mumewe kuwa anatumia dildo.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Hayo mambo ya ndani una bahati sana kuyajua comrade Ila sifahamu kuwa ni bahati mbaya au nzuri.
Turudi kwenye mada, labda mke anaona aibu kumwambia mumewe kuwa anatumia dildo.
Ungemuwekea na picha kabisa ya hiyo dildo ili akuelewe vizuri
 
Sidhani kama kuna ukweli wowote hapo...

Lazima kuna kitu/vitu huyo mwanamke atakua anatumia kujisokomeza ukeni...


Cc: mahondaw
 
Yani rafiki yako kakwambia uke wake mkubwa na unatanuka sababu ya kazi anazofanya!?... Jamani!!!!..
 
Amuulize vizuri huwenda akawa mama matunda tunda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…