Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
- Thread starter
- #21
MmmmhhhAmuulize vizuri huwenda akawa mama matunda tunda.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MmmmhhhAmuulize vizuri huwenda akawa mama matunda tunda.
Hayo mambo ya ndani una bahati sana kuyajua comrade Ila sifahamu kuwa ni bahati mbaya au nzuri.
Turudi kwenye mada, labda mke anaona aibu kumwambia mumewe kuwa anatumia dildo.
Sasa watu wanatuchanganya humuHuu ni uongo na myth. Na inasitikisha sana wanawake kuchangia recklessly.
Ni sawa tuseme wanaume wanaofanya mapenzi sana uume ungekua mdogo kutokana na kutumika sana. Uume au uke kuwa mkubwa ni issue ya kimaumbile(physiology) na genetically zaidi.
Uke hurudi katika hali yake hata baada ya kujifungua ila kuna misuli ya pelvic huwa inalegea kwa baadhi ya wasio na mazoezi ya kegel ndo kunaweza kuwa na hali ya loose vagina.
Lakini hata uume uwe mkubwa kiasi gani hauongezi size ya uke. Uke una'accomodate uume size yoyote na kurud kwenye hali yake ya mwanzo baada ya tendo.
Hii mada kwa kweli kila mtu anaongea ajuacho yeye:Kwani uke ndo unaofanya kazi adi utanuke? Mi ainiingii akilini hata kidodo labda kama kazi alizokuwa anazizungumzia ni kazi za kuchepuka na wanaume tofauti tofauti na kuzini, ningekuwa mimi ningempa talaka, cpendi mambo ya kipuuzi Mimi!!
Unamaanisha ninihahaah manyoyaaaa
HatariMakubwa ya leo
Hayo mambo ya ndani una bahati sana kuyajua comrade Ila sifahamu kuwa ni bahati mbaya au nzuri.
Turudi kwenye mada, labda mke anaona aibu kumwambia mumewe kuwa anatumia dildo.
Ngoja niungane na weweNgoja niwe msomaji tuu huwenda nikapata kitu kipya.