Kuna ukweli juu ya uke wa mwanamke kutanuka kutokana na kufanya kazi nyingi?

Kuna ukweli juu ya uke wa mwanamke kutanuka kutokana na kufanya kazi nyingi?

Huyo mama ana akili sana, tatizo ni huo utetezi wake. Mwambie jamaa kama anataka kujua ABC... atulie hapo home hata mwezi mmoja atajua ukweli la sivyo aendelee kuwa SOCIAL FATHER na si BIOLOGICAL FATHER kwa watoto wake
 
Huu ni uongo na myth. Na inasitikisha sana wanawake kuchangia recklessly.

Ni sawa tuseme wanaume wanaofanya mapenzi sana uume ungekua mdogo kutokana na kutumika sana. Uume au uke kuwa mkubwa ni issue ya kimaumbile(physiology) na genetically zaidi.

Uke hurudi katika hali yake hata baada ya kujifungua ila kuna misuli ya pelvic huwa inalegea kwa baadhi ya wasio na mazoezi ya kegel ndo kunaweza kuwa na hali ya loose vagina.

Lakini hata uume uwe mkubwa kiasi gani hauongezi size ya uke. Uke una'accomodate uume size yoyote na kurud kwenye hali yake ya mwanzo baada ya tendo.
 
Nn maana. Ya D😀😀. pia wanawake wana akili sana kutuzidi wanaume, when its comes kwenye issue ya k zao so kuwekwa sawa ni kawaida lazima utulizwe tu
 
Hapo kuna ma bwana mkubwa wanalegeza elasticity behind ze scene tena kwa shooo heavy ni mihogo heavy.... Tena full time.. Yani wanachovya daily.. Pole sana ndugu yangu mungu akutie nguvu katika kipindi hicho kigumu unachopitia[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hayo mambo ya ndani una bahati sana kuyajua comrade Ila sifahamu kuwa ni bahati mbaya au nzuri.
Turudi kwenye mada, labda mke anaona aibu kumwambia mumewe kuwa anatumia dildo.

Anatumia nini[emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Huu ni uongo na myth. Na inasitikisha sana wanawake kuchangia recklessly.

Ni sawa tuseme wanaume wanaofanya mapenzi sana uume ungekua mdogo kutokana na kutumika sana. Uume au uke kuwa mkubwa ni issue ya kimaumbile(physiology) na genetically zaidi.

Uke hurudi katika hali yake hata baada ya kujifungua ila kuna misuli ya pelvic huwa inalegea kwa baadhi ya wasio na mazoezi ya kegel ndo kunaweza kuwa na hali ya loose vagina.

Lakini hata uume uwe mkubwa kiasi gani hauongezi size ya uke. Uke una'accomodate uume size yoyote na kurud kwenye hali yake ya mwanzo baada ya tendo.
Sasa watu wanatuchanganya humu
 
:Kwani uke ndo unaofanya kazi adi utanuke? Mi ainiingii akilini hata kidodo labda kama kazi alizokuwa anazizungumzia ni kazi za kuchepuka na wanaume tofauti tofauti na kuzini, ningekuwa mimi ningempa talaka, cpendi mambo ya kipuuzi Mimi!!
Hii mada kwa kweli kila mtu anaongea ajuacho yeye
 
Ndo Sababu Bibilia Imesema,Tuishi Nao Kwa Akili.Ila Mimi Uongo Kma Huu I Will Never Accept This Fool,Ntamn`goa Meno Yote 32.
 
Saa nyingine hata dildo hajui ni kitu gani na inafananaje bali kuna njemba linazuka kwenye utamu na kufanya yake.

Hayo mambo ya ndani una bahati sana kuyajua comrade Ila sifahamu kuwa ni bahati mbaya au nzuri.
Turudi kwenye mada, labda mke anaona aibu kumwambia mumewe kuwa anatumia dildo.
 
Mzigo unaliwa na jamaa anadudu kubwa kuliko mwenye mali, na mke anafanya sana mara nyingi na mchepuko ndiyo maana, mwenye mali akiingia anagaragara, hii pia uwa ni sababu
 
Back
Top Bottom