Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
Habari wadau wa JF.
Kuna rafiki mmoja anaishi mbali na mume na huchukua miezi hata minne ndiyo wafanye kwikwichi kutokana na umbali huo.
Sasa juzi mume kaja na kadai kamwambia kila Mara akija anakuta uke yani K imetanuka na haitumiki. Sasa rafiki alichomjibu mume ni kuwa anafanya kazi nyingi ikiwa ni pamoja na kufua nguo za watoto wao wawili na ana muda mdogo sana wa kupumzika ukichanganya na kazi nyingine.
Pia alimwambia amtafutie house girl ili apate kupumzika na uke kurudi mwake. Hili limenishangaza na sikumhoji tena na anadai mume karidhika na jibu.
Je ni kweli kazi nyingi hutanaua K au uke?