Huu ni uongo na myth. Na inasitikisha sana wanawake kuchangia recklessly.
Ni sawa tuseme wanaume wanaofanya mapenzi sana uume ungekua mdogo kutokana na kutumika sana. Uume au uke kuwa mkubwa ni issue ya kimaumbile(physiology) na genetically zaidi.
Uke hurudi katika hali yake hata baada ya kujifungua ila kuna misuli ya pelvic huwa inalegea kwa baadhi ya wasio na mazoezi ya kegel ndo kunaweza kuwa na hali ya loose vagina.
Lakini hata uume uwe mkubwa kiasi gani hauongezi size ya uke. Uke una'accomodate uume size yoyote na kurud kwenye hali yake ya mwanzo baada ya tendo.