Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama wiki 3 hivi sijawasiliana nae. Ngoja nimtafuteHujawasiliana nae?
MsalimieKama wiki 3 hivi sijawasiliana nae. Ngoja nimtafute
Big No! Nime experience pale ninapo DO sana mb...ooo Hukaza na kuwa imara zaidi kuliko nikikaa bila Ku-do. Hivyo hivyo kwa wanawake itakuwa kama hato.....mwi inasinyaa na kuwa ndogo.Huu ni uongo na myth. Na inasitikisha sana wanawake kuchangia recklessly.
Ni sawa tuseme wanaume wanaofanya mapenzi sana uume ungekua mdogo kutokana na kutumika sana. Uume au uke kuwa mkubwa ni issue ya kimaumbile(physiology) na genetically zaidi.
Uke hurudi katika hali yake hata baada ya kujifungua ila kuna misuli ya pelvic huwa inalegea kwa baadhi ya wasio na mazoezi ya kegel ndo kunaweza kuwa na hali ya loose vagina.
Lakini hata uume uwe mkubwa kiasi gani hauongezi size ya uke. Uke una'accomodate uume size yoyote na kurud kwenye hali yake ya mwanzo baada ya tendo.
he he he heee we nimejifunza kitu apaKama ni kazi rasmi za kiuchumi hamna ykweli, kama ni kuingiliwa na wanaume kila kukicha, lazima utanuke, unuke, na kuwe na maji mengi.