Kuna ukweli ktk hii picha?

Kuna ukweli ktk hii picha?

mchonga

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2006
Posts
1,233
Reaction score
248
Ni kweli diamond amekutana na BritneySpear? Jamani magazeti ya bongo kwa chunvi.
Angalia tofauti kati ya picha. kwa nini wasiseme ukweli kwamba alipiga picha na sanamu wala siyo Britney? Ngalia mwenyewe hapa chini.


Msanii%2BDiamond%2Bakila%2Bpozi%2Bna%2Bkupewa%2Bchangamoto%2Bkutoka%2Bkwa%2BQueen%2Bwa%2BPop%2Bambaye%2Balikuwa%2B%2Bmshindi%2Bwa%2BMTV%2BAward%2BMiaka%2Bya%2BNyuma%2BBritney%2BSpears%2Bmjini%2BLondon%2Bbaada%2Bya%2BUrban%2BTour..jpg

Msanii Diamond akila pozi na kupewa changamoto kutoka kwa Queen wa Pop ambaye alikuwa mshindi wa MTV Award Miaka ya Nyuma Britney Spears mjini London baada ya Urban TourWaheshimiwa Wadau Salaam,Kwa heshima na taadhima URBAN PULSE CREATIVE Inawaomba na kuwasihi watanzania wote pale walipo kuwa wazalendo na kumpigia kura

Britney-Spears-at-Madam-Tussaud-in-London.jpg

Sanamu lililopo Madame Tussauds-London
 
dah! mara ya kwanza nimeicheki hii picha nilijua mchizi kaumega kumbe duh!
 
Anauza jamani! Si unajua kwao mbagala sijui. Ivyo kwa picha hata demu atapata.
 
Mbona hii nchi kila mtu anakuwa muongo-kweli hapa wamechemsha
 
Uchafu uliopitiliza.Hivi hawa wasanii wetu watajitambua lini?
 
Yani uwongo umeanza kuwa kitu cha kawaida kabisa Tz, na tumekuwa watu wa hovyo tu kushabikia huu upuuzi.. Watu wanachekelea tu lakini tabia ya uwongo katika jamii itatugharimu sana hasa kwa kizazi kijacho.
 
Amakweli watanzania wenzangu tutajidhalilisha hatalini ndugu,Ila si shangai mwenzenu hapo ndio kwanzaaaaaaaa kafika yani hata kuguswa hataki.Mimi sipo ila si unawajua tena watu wa mbagala au mmesahau nini!!!!:redfaces::redfaces::bump::bump::bump::hungry::hungry: Msijali hz ni njaa tuuuu
 
unategemea nini nchi kuanzia rais muongo ..wanachi si ndo inakuwa balaa kabisa

Ha ha ha! hivi kaahidi kujenga madaraja ya juu kwa juu eeh! hapo alishatuahidi maisha bora 2005 na mpaka sasa kavukavu!
 
Inasikitisha sana hawa URBAN PULSE CREATIVE nadhani ni kikundi cha wajinga fulani wanaopenda kukuza mambo ya uwongo! Kwanini hawakuandika ni sanamu ya wax inaonyesha umbile la Britney Spears kwenye Makumbusho London (London's Madame Tussauds museum)

Nimekereka sana na hawa wajinga.

britney-spears-peeing_fullsize.jpg



britney-1-630.jpg


Britney Spears' wax figure, getting waxed.
 
Inasikitisha sana hawa URBAN PULSE CREATIVE nadhani ni kikundi cha wajinga fulani wanaopenda kukuza mambo ya uwongo! Kwanini hawakuandika ni sanamu ya wax inaonyesha umbile la Britney Spears kwenye Makumbusho London (London's Madame Tussauds museum)

Nimekereka sana na hawa wajinga.

britney-spears-peeing_fullsize.jpg



britney-1-630.jpg


Britney Spears' wax figure, getting waxed.

Rev Umeenda mbali mkuu....mhhhhhhhhhhhhhhhh na akiwa chooni tena?
 
Back
Top Bottom