Kuna ukweli kulingana na hii picha!?


Tusiwape Presha Mabinti zetu hadi kufikia hatua wakajikuta wanatumbukia kwenye Mahusiano hatimaye wakajuta.

Tuwatie Moyo kwa hicho Kitabu cha Mtaalamu Ngugi.

Muda sahihi ukifika watapata Waume wa Kuwaoa na kuwasitiri kama Maandiko yasemavyo.
 
Watamu sana ila ndio hivo wanakua bado hawana better decision-making..
Mwisho wa siku wanakuja kustuka kumekucha πŸ˜‚πŸ˜‚
Of course, hao wanataka Mwanaume uwe ndiyo final say wao.

Uwaongoze kwenye kila jambo, muhimu maokoto yawepo tu.

Ukija kwenye sex kama afya inaruhusu unaweza kupewa kila siku hadi tani yako πŸ€—
 
Of course, hao wataka Mwanaume uwe ndiyo final say wao.

Uwaongoze kwenye kila jambo, muhimu maokoto yawepo tu.

Ukija kwenye sex kama afya inaruhusu unaweza kupewa kila siku hadi tani yako πŸ€—
Hapo kwenye sex ndo unapopajua wewe an nilitaka nishangae usigusie hapo...
Mzee wa hovyo wewe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…