Kuna ukweli kulingana na hii picha!?

Kuna ukweli kulingana na hii picha!?

bandeko andeko

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2021
Posts
1,080
Reaction score
2,143
Nimeikuta mahali hii picha..

Screenshot_20231011_063639_Facebook.jpg
 
Screenshot_20231102_190254_Chrome.jpg

Tusiwape Presha Mabinti zetu hadi kufikia hatua wakajikuta wanatumbukia kwenye Mahusiano hatimaye wakajuta.

Tuwatie Moyo kwa hicho Kitabu cha Mtaalamu Ngugi.

Muda sahihi ukifika watapata Waume wa Kuwaoa na kuwasitiri kama Maandiko yasemavyo.
 
Watamu sana ila ndio hivo wanakua bado hawana better decision-making..
Mwisho wa siku wanakuja kustuka kumekucha 😂😂
Of course, hao wanataka Mwanaume uwe ndiyo final say wao.

Uwaongoze kwenye kila jambo, muhimu maokoto yawepo tu.

Ukija kwenye sex kama afya inaruhusu unaweza kupewa kila siku hadi tani yako 🤗
 
Back
Top Bottom